Selection za vyuo vya afya, Joining Instruction na taarifa kuhusu kozi za afya

Sorry Wadau! Kuna mdogo wangu alipata ufaulu wa Four ya 27 huku akipata D flat ya masomo ya Science na amepelekwa SENGEREMA SCHOOL OF NURSING, Jamani anayekifahamu chuo hiki anijuze

-College fee pa1 na mambo mengine

SENGEREMA SCHOOL OF NURSING
Ownership😛rivate
Region:mwanza
District:sengerema
District Council Fixed Phone 0282590008
Phone:0282590008
Adress😛.O.BOX 1 MWANZA
Email Adress:ny@mail.Com
PROGRAMME OFFERED BY THIS INSTITUTION
Ordinary Diploma In Nursing (Nta Level 6)
Technician Certificate In Nursing (nta Level 5)
Basic Technician In Community Health (Nta Level 4)
 
Wale ambao wamekosa vyuo, Au wamekosa kozi za ndoto zao basi tuwasiliane
 
kama kuna ambaye anaenda st.aggrey chuoni wanaanza Lin.? na joining tunazipata wapi? msaada pls.!
 
Jamaniiii aliyepangiwa mtwaraa schoil of nursng vipii anataarifa zozte kuhuxu joining instruction...
 
Mwenye kukifahamu chuo cha Lugalo kwa ufundishaji wa Kozi ya C/O naomba anijuze tafadhali..
 
wadau msione kimya kimezidi now tushaanza mziki wa anatomy and physiology 1 but tupo pamoja jamaa zangu ...tusiache kusaidiana jamani kwa kila namna kwani wazee wa zamani walisema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, kidole gumba pekee hakivunji chawa
 
Pouwaa ma broda pole na buku..koma together az one.....??!
 
wadau msione kimya kimezidi now tushaanza mziki wa anatomy and physiology 1 but tupo pamoja jamaa zangu ...tusiache kusaidiana jamani kwa kila namna kwani wazee wa zamani walisema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, kidole gumba pekee hakivunji chawa

daaaaa kweli mkubwa@ ustadhi cjui joining instruction kwa vyuo vya serikal znatoka lini tu yan.....
 
wadau msione kimya kimezidi now tushaanza mziki wa anatomy and physiology 1 but tupo pamoja jamaa zangu ...tusiache kusaidiana jamani kwa kila namna kwani wazee wa zamani walisema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, kidole gumba pekee hakivunji chawa

mkuu nnashida nawe naomba untumie namb zako, zangu 0714811476 ucku mwema
 
Mbeya School of dental therapists haliyake vipi? Kwa anaei kifaham tafadhari
 
Back
Top Bottom