mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amanimpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Bora ulivomuelwesha 😀😀😀Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amani
nawashauri muwe na plan B.kwenye maisha itawasaidia sana sio kuvaa miwan ya mbao usonimpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Kweli hilo nalotena
Kama hujui kitu kaa kimya....mpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Ndo umeandika nin hapa?Hivi nyie hamjiulizi tu kwa nin ajira zimesimama waliochaguliwa jkt wamerud mpaka waitwe tena na bado mnaulizia Nacte cha msingi tafuta tiba mbadala hata hao Nacte wakitoa bado tu unachangamoto kubwa mbeleni kazi sasa ni ngumu si kwa alie soma wala asiesoma zinduka kk awamu hii si yakutegemea serikal
tulia wewe ueleweshwe,ata sisi mwaka jana mwezi 4 tulifanya application nacte, wakasema matokeo yatatoka mwezi wa 5' lakini mwezi 5 ulipofika hawakutoa.Kama hujui kitu kaa kimya....
Wao wenyewe ndo walitoa tangazo selectiom zitafanyikwa wiki 4 baada ya system kufungwa halafu itafunguliwa upya ndo maana watu wanalalamika maana wameenda kinyume na tangazo lao wao wenyew
Username yako inaendana na ulichoandika by the way
hata mwaka jana walipromise kama hivyo hivyo lakini selection wakaja kutoa mwezi 10Sio hivyo kinacho wapa watu pressure ni kwamba wao wenyewe walipromise mchakato unachukua wiki Tatu mbaka, nne rejea tangazo La tr 09/05/2016 wasinge promise watu wangekaa kimya mbaka siku ambayo wangetoa inapaswa waambie umma tatizo ni nini ili wakae kwa Amani

hahaaahaaahaahata mwaka jana walipromise kama hivyo hivyo lakini selection wakaja kutoa mwezi 10
kwahiyo kuweni wavumilivu sio kulia-lia tu.
ustadhijuma njoo uwaeleweshe hawa BRN watoto wa MWENDO KASI
sasa hayo matusimpka matokeo ya a level yatoke wafanye tena usajili,so matokeo kutoka mpka mwezi 9 na masomo yanaanza mwezi 10.
halafu acheni kulalamika kama watoto wa kike,hivi vitu vinaenda kwa mipango sio kama mnavyotaka nyie
Nimeandika mtazamo wangu wew ulitaka niandike nin??Ndo umeandika nin hapa?