Selection za NACTE 2016 zitatoka lini?

Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilika
Sikuhizi wameboresha nasikia kuna jamaa wengi tu wanasoma.
 
Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilika
Wameboresha sana sikuhizi,nimepata taarifa kwa jamaa ambao wamesoma huko,hawatashida kama ilivyokuwa zamani.
 
Kweli kabisa mkuu me nipo pamoja na wewe. Sasa sijui hao Nacte hawaoni watu wanavyo haha [emoji35] [emoji35]
 
Wameboresha sana sikuhizi,nimepata taarifa kwa jamaa ambao wamesoma huko,hawatashida kama ilivyokuwa zamani.
Poa kama wameboresha ni chuo kizuri ukitoka hapo aliyetoka chuoni hawezi jilinganisha na wewe kwa sababu unasoma vitu vingi sehemu mbalimbali kwa sababu hujui hata mtihani unatokaje. Baada ya kumaliza nilikuwa field na watu wa vyuo vingine kwa kweli maboss walinifagilia sana. Watu wanakidharau lakini wanafunzi wa pale hawasomei mitihani bali ujuzi.
 
NACTE hongereni kwa kutewekea vizunguzungu kichwani. Naona elimu imekuwa kama siasa, ahadi hazitimizwi wala hakuna taarifa ya ziada.
 
Siwaelew nacte ..wengine tunsishi mjini kwa wajomba tunasubir majibu yatoke twende tupeleke riport kijijin..kuwa tumechaguliwa au la??? Tuanze kufyatua tofali tupate ada ...daaaaah hawa nacte wanatukomoa au wanatuangaisha bwege ..
 
Mi narud kijijin matokeo yakitoka mtanijuza via sms....https://jamii.app/JFUserGuide
 
Mim narudi kijijin NACTE wakitoa majina ya waliopata vyuo diploma na cheti 2016 mtanitumia sms namba yangu ni https://jamii.app/JFUserGuide nimechoka na uvumilivu ..bora nkavune kahawa na nkafyatue tofali kuliko kuwasibir nacte..wakuu kumbuken kunitumia sms..naomben sana narudi bushi lusungo
 
Ha ha ha haaa wewe nenda tu hapa hamna cha nacte wala kuchaguliwa hapa ni kazi tu.
 

Ha ha ha ha, ndo kuwa wa kiume Kaka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…