SoC02 Sekta ya Kilimo hasa cha tangawizi kukomboa uchumi wetu

Stories of Change - 2022 Competition

Jofreyson

New Member
Aug 27, 2022
1
2
SEKTA YA KILIMO HASA CHA TANGAWIZI KUKOMBOA UCHUMI WETU

Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa hata baba wa Taifa Mwl JULIUS NYERERE alishawahi pata kusema na ndio tumaini kubwa katika kuinua maisha ya vijana wengi wa vijijini na hata mjini kwani hakuna njia nyingine isipokuwa kujishughulisha na biashara ya kilimo.

Ni muda sahihi sasa serikali yetu kuwekeza kwa kina katika kilimo mana ndio njia pekee yakulikwamua taifa katika njaa na ukuwaji wa uchumi vijana wengi au watu wengi wamekuwa wakikata tamaa kutokana na mazingira kutokuwa rafiki katika uwekezaji wa kilimo hasasa vijijini utalimaje kwa weledi kama pembe jeo zipo mjini.

Huwezi kuanza moja kwa moja kuwekeza kwenye viwanda au kuja na sera ya viwanda kama hujawekeza kwenye kilimo kwani viwanda vinahitaji malighafi zakutumika viwandani, kuliko kuanza na viwanda alaf malighafi ununue katika nchi za jirani itadidimiza uchumi wetu nakukuza uchumi wa majirani zetu.

Sera ya serikali ya Tanzania katika uongozi wa awamu ya tano ilikuja na sera za mapinduzi ya viwanda nawapongeza katika hilo japo hawakufanikiwa, kutokana na changamoto mbalimbali mfano naipongeza serikali katika kufufua kiwanda cha kutengenezea viatu hii imepelekea kurudisha soko la ngozi lililopotea kipindi cha nyuma.

Leo nataka niwapeleke katika vijiji maarufu Mkoani KILIMANJARO Wilayani SAME maarufu kwa kilimo cha Tangawizi, ni Tangawizi iliyojipatia umaarufu Afrika kutokana na ubora wa bidhaa hiyo kuliko yoyote ile kutoka sehemu nyingine. Naweza kusema wataalamu wengi wa kilimo wamenukuliwa wakisema ubora wa Tangawizi hiyo ambayo hutoka katika milima ya upare imekuwa bora Zaidi ya nyingine kutokana na asili ya ardhi ya eneo hilo, kitu ambacho kitakuonyesha ubora huo kulilko nyingine haiozi, haichubuki, na inakaa kwa muda mrefu bila kuharibika.

Raha ya tangawizi ni ule ukali wake wakuwasha basi mimi ni shuhuda wa tangawizi ile kutoka katika milima ya upare ni inasifa zote zakuitwa Tangawizi bora, hata ukienda masoko mengi wateja wamekuwa wakisema wanataka Tangawizi ambayo niile inayotoka katika miliya ya upare.

Bado kilio changu kwa serikali kwanini isiwekeze kwenye vilimo mbalimbali ikiwemo hii Tangawizi ambapo hapa kwetu inapatikana yenye ubora Zaidi kushida eneo lolote lile duniani kwanini wasiende kuitangaza kimataifa zao ambalo linaweza likaleta tija kwa taifa hii itatusaidia kunufaika Taifa zima na wananchi wote Kama Serikali itafanya hivi hii nisababu tosha kuwa zao hili linauwezo lenyewe kwenda kuitangaza nchi kimataifa na kushindanishwa na mataifa mengine wanufaika ni sisi wenyewe utajisikiaje wanunuzi duniani katika nchi mbalimbali wakisema nataka Tangawizi ile inayotoka katika nchi ya Tanzania?

Kilimo cha Tangawizi kimekua chachu kubwa ya maendeleo makubwa katika milima ya upare tofati na mwanzo kwani vijana wengi wamejikita katika kilimo hicho haijalishi anasoma au yupo mtaani hii iliwapa muamko mkubwa katika kilimo hichi kutokana na uhitaji mkubwa wa zao hilo, Pembejeo imekuwa ni changamoto pia katika maeneo hayo kwani zinapatikana kwashida na kwa bei ya juu hivyo kufanya ushukaji wa zao hilo na mazao kupungua ubora maana kilimo kinahitaji mahitaji yake ya pembjeo kwa muda maalumu hitajika.

Serikali imekuwa ikiwaahidi wanachi wake kila wakati kupitia changamoto hizo kuwa zitatatuliwa lakini bado ni muda sasa changamoto bado wananchi wanazipitia Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya kushuka kwa bei ya zao hilo kwani wananchi wanatumia gharama kubwa mpaka zao hilo linakua lakini ukilinganisha na bei wanazokutana nazo kipindi cha mavuno zinakatisha tamaa kwani hazikidhi ukilinganisha na gharama walizotumia tangia wanapanda mpaka mavuno.

Miaka ya hivi karibuni wanchi wa Same mashariki walijengewa kiwanda kidogo cha kusindika kupitia mbunge wao ambaye yupo madarakani mpaka sasa ndugu Mh Anne Killango Malecela lakini bado halikutatua tatizo hilo kwani bado kiwanda kilikuwa hakikidhi mahitaji ya wanchi wote lakini pia ununuzi katika kiwanda hicho ulikuwa mdogo kiasi kwamba niwachache ndio walikuwa wakipata nafasi kununuzwa zao hilo.

Mnamo mwezi Mei 17, 2022 Mbunge wa Same mashariki ndugu Mh Anne Killango Malecela aliingia na zao hilo la Tangawizi bungeni ili kutilia mkazo na kuwatetea wakulima wa zao hilo na kuboresha suala la uwekezaji katika kilimo jimboni kwake namnukuu bungeni alisema hivi “sasa tumejenga kiwanda ambacho katika afrika mashariki nichakwanza mh spika tangawizi tunayovuna ni hii hapa na tunayochakata ni hii hapa na tangawizi ya unga ni hii hapa mh spika kwasababu kile nikiwanda hatuwezi kuchakata tangawizi bila ya TBS kuja wameangalia na mtaniwia radhi tangawizi ile nitofauti na tangawizi zingine hapa Tanzania” “Kwasiku moja ya masaa 24 tunachakata tani10 kumi sasa sisi wenyewe tunavuna tani elfu ishirini na tano 25000 sio tangawizi yakutosha kwenye kile kiwanda kwahiyo serikali naomba kwa unyenyekevu mkubwa naomba mkatengeneze miundombinu ya kilimo muiboreshe wananchi wale wavune Tangawizi kwa wingi” Amesema Anne killango.

Lakini pamoja na hayo yote mbunge wa same mashariki ndugu Mh Anne Killango aliyosema tatizo kubwa linaonekana ni masoko ya kuuzia zao hilo kwani kwa sasa limeshuka bei sana zao hilo kutoka Zaidi ya shilingi elfu mbili hadi kushuka mia tano.

Ushauri wangu kwa serikali kuwekeza nguvu nyingi kwa mazao ya biashara na kuyataftia masoko katika nchi zingine ili kuingia katika soko la ushindani, lakini pia kuwawezesha wakulima katika kuwatengenezea miundo mbinu na upatikanaji wa pembe jeo kwa unafuu.
 
Good 👍
 
Kilimo bila irrigation scheme ndugu yangu ni ku-bet - niamini mimi. Ni lazima Serikali iwekeze kwenye scheme za umwagiliaji katika kila tarafa kama kweli tupo serious na Kilimo.
 
Hbari mkuu nawezaje kupa contact ya kiwandani Mamba Myamba nioate beinya sasa na kama tunaweza fanya nao biashara
 
Back
Top Bottom