Sekretarieti ya CCM Taifa yafunika Saranda Manyoni.

Sekretarieti ya CCM Taifa yafunika Saranda Manyoni.

tembo wetu jamani wsko hatarini au anaenda gombe mungu wangu.
 
Kinana na timu yake wanaijenga ccm kwa kasi ya ajabu
 
Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.

Saranda hakuna mbuga za wanyama hasa hasa tembo?
 
Mwl. Lengo la hii habari yako ni nini?
>Kutujulisha kuwa wananch walifurika, na hivyo kudhirisha CCM bado inapendwa Saranda?
>Kutujulisha aliyoyasema kinana, kuwa ilan yao inatekelezwa vema?
>Kutujulisha kuwa Kinana alishirik kula na abiria wengine?
>Kutujulisha ushabik wako kwa chama na Secretariat?

Saranda ni sehemu ya biashara so kufurika kwa watu hakuna maana walikwenda kwa ajili ya kinana, ni sawa na mtu kwenda kariakoo na kusema alilakiwa na umati mkubwa kumbe watu wapo kwenye shughuli zao
 
kiongozi mzuri ni yule anayetenda nakufuatilia utekelezaji kuliko kusubiri kuambiwa. Hiyo inamaslahi kwao na wanaowaongoza

Walichosimamia na kukitekeleza ni kipi katika kusimama kwao hapo Saranda?wao ndio waliosababisha shirika la reli kufikia hapo,wao ndio walioua atc,na viwanda vyote kwa maslahi yao,wao ndio wahusika wakuu wa mauaji na uuzwaji wa pembe za ndovu,wao ndio walioua kiwango chetu cha elimu na yote hayo ni kwa maslai yao binafsi!kwa upeo wako wewe kama mwl ni kipi walichosimamia chenye maslai kwa taifa?Watanzania sasa wameamka kifikra,ni wachache wenye fikra mgando ndio wataendelea kutumika
 
Hata mwl wa chekechea naye ni mwalimu. Maana naamini angekuwa mwalimu wa degree asingeandika hii habari kwa sababu ipo kichekechea zaidi

Atakuwa mwalimu wa Madrassatul Islamiya finnurku ya Manyoni
 
Kinana na timu yake wanaijenga ccm kwa kasi ya ajabu

Wanajenga kwani inamaana ilishabomolewa? Cheza na M4C mtabaki ccm masilahi pekee yenu ikifika 2015!

Tafadhari huko kigoma kuna mbuga zenye Tembo hivyo watu wawe makini isije akawa tayari kuna mabehewa yameandaliwa kubeba meno wakati wanarudi!

Hatari wekeni mbali na Tembo!
 
Kwann hapa jf hatupendi kusikia ccm wamefanya kitu kizuri? Naona ktk mijadala mbalimbali hapa kuna wafuasi wa ccm na chadema, lakini ccm wakifanya kitu hata kama ni kizuri kitapondwa tu, ni ccmophobia?
 
hakuna kitu kizuri kilichowahi kufanywa na maCCM ... period
 
Mwalimu ni mwalimu tu,ww ulianzia wapi! Acha dharau jenga hoja

hoja zako ziko kichekechea zaidi ndo maana nime kuweka katika taxon ya chekechea. Kwa hiyo wewe ulikuwa ni miongoni mwa walioenda kushangaa matumbo ya wachinja tembo au unataka kutupatia ujumbe gani
 
hakuna kitu kizuri kilichowahi kufanywa na maCCM ... period

kweli mana wanapora wake za watu wanavunja ndoa za watu na kutelekeza familia.hao wake wanawaita wachumba huku wana miaka 60 na kidogo
 
Kwann hapa jf hatupendi kusikia ccm wamefanya kitu kizuri? Naona ktk mijadala mbalimbali hapa kuna wafuasi wa ccm na chadema, lakini ccm wakifanya kitu hata kama ni kizuri kitapondwa tu, ni ccmophobia?

kinana anaruhusiwa kutembea huru wakati kampuni yake inahusika na wizi wa nyara za serikali halafu unatarajia watu wenye akili tuwasifie magamba? Angalia upya ulichokiandika
 
kweli mana wanapora wake za watu wanavunja ndoa za watu na kutelekeza familia.hao wake wanawaita wachumba huku wana miaka 60 na kidogo

wanaua tembo wetu,wanatorosha twiga wetu,wanasaini mikataba ya kuiba gesi yetu,wanauza kigamboni yetu
 
Hayo ni maoni yako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kiongozi mzuri ni yule anayetenda nakufuatilia utekelezaji kuliko kusubiri kuambiwa. Hiyo inamaslahi kwao na wanaowaongoza

Ujinga mtupu. Yaani reli waharibu wao watengeneze wao. Arafu cc tuje waona wamaana?

Tokea 1961 hadi sasa mabehewa yale yale kwani kampuni haitengenezi faida kununua mapya? Ccm waizi tu.
 
Kwann hapa jf hatupendi kusikia ccm wamefanya kitu kizuri? Naona ktk mijadala mbalimbali hapa kuna wafuasi wa ccm na chadema, lakini ccm wakifanya kitu hata kama ni kizuri kitapondwa tu, ni ccmophobia?

Kusimama kula nyama za tai pale ndo kizuri unachotaka watu easifie?
 
Back
Top Bottom