Sekretarieti ya CCM Taifa yafunika Saranda Manyoni.

Sekretarieti ya CCM Taifa yafunika Saranda Manyoni.

Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.
Mnadanganywa huku akiwa kinara wa kupeleka nyara zenu njee na kujineemesha,nyinyi mnadhani anawapenda na kuwajali sana!anachopata ni kikubwa kuliko huo usanii anaoufanya
 
Mwl. Lengo la hii habari yako ni nini?
>Kutujulisha kuwa wananch walifurika, na hivyo kudhirisha CCM bado inapendwa Saranda?
>Kutujulisha aliyoyasema kinana, kuwa ilan yao inatekelezwa vema?
>Kutujulisha kuwa Kinana alishirik kula na abiria wengine?
>Kutujulisha ushabik wako kwa chama na Secretariat?

au anashangaa hii secretariet kula kuku wakati mtwara kuko shwari!
 
Mwalimu ni mwalimu tu,ww ulianzia wapi! Acha dharau jenga hoja
unajua sima manake sina uhakika kama kweli ni wewe ni mwl. kama sisi yaani mwl. wa tgts ndo hoja yake maana sie wenzako wote wa tgts tulishaiasi ccm siku nyingi sana sasa tukiona mtu anajiita mwl halafu anashabikia magamba,huwa tunajiuliza hivi kweli huyu ni mwenzetu au ndo wale type ya akina mama sita,mlugo,na mama riz?
 
kweli ccm kwishinehi,yaani kubeba watu toka manyoni,kintinku,makutupora,kilimatinde na uongeze na abiria walioko ndani ya trein ndio mnajisifu mmefunika hahahahahaha pia walijazana hapo station ya salanda ni wachuuzi wa chakula.ama kweli ccm kichwa cha samaki
 
Huyo Kinana amewaambia wananchi ameua tembo wangapi hadi sasa??!!
 
Nchi hii inawajinga wengi wakiongozwa na chama cha Majangili
 
Kwann hapa jf hatupendi kusikia ccm wamefanya kitu kizuri? Naona ktk mijadala mbalimbali hapa kuna wafuasi wa ccm na chadema, lakini ccm wakifanya kitu hata kama ni kizuri kitapondwa tu, ni ccmophobia?

Maiti tu ndiye atakayeishabikia CCM
 
chondechonde huko kuna hifadhi ya gombe na wale jamaa waliohifadhiwa kule nasikia hata kinyesi chao ni dili ulaya asije akawakamua wakiwa hai.
maana huyu chief secretary imani naye kwenye hawa hayawani ni ndogo sana.
huyu labda akitembelea gerezani ndio nakuwa na imani naye kidogo.

wakimaliza kufunika manyoni wanafunuliwa dumila,kibiti na mtwara.
 
Waende wakatekeleze na Mtwara na lindi ambako kuna waka moto sasa hivi.Hili ni genge la wezi tu.
Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.
 
kweli mana wanapora wake za watu wanavunja ndoa za watu na kutelekeza familia.hao wake wanawaita wachumba huku wana miaka 60 na kidogo

wanapora rasilimali za nchi hii madini,wanyama na sasa gesi ila hii itawatokea puani!mwambie katibu wenu tembo wetu wapo mikononi mwake.
 
Back
Top Bottom