KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Kinana na timu yake wanaijenga ccm kwa kasi ya ajabu
zaidi ya mukama na timu yake?au ndo mwendelezo wa siasa za majitaka na propoganda za kitoto za mwigulu na nape?
Kinana na timu yake wanaijenga ccm kwa kasi ya ajabu
Strategist kinana
You are suffering from chademic syndrome!
You are suffering from chademic syndrome!
Lazima wewe utakuwa huishi TZ au ni wale wale CCM MASLAHI tueleze ni kipi kizuri ccm imefanya?Kwann hapa jf hatupendi kusikia ccm wamefanya kitu kizuri? Naona ktk mijadala mbalimbali hapa kuna wafuasi wa ccm na chadema, lakini ccm wakifanya kitu hata kama ni kizuri kitapondwa tu, ni ccmophobia?
You are suffering from chademic syndrome!
Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.
Strategist kinana
Hata kama uwe muovu vipi huwezi kukosa wafusi, la kujiliza je akiacha hao wenzake anawatendea nini wapendwa wa Mungu wana mayoni zaidi ya kuwahadaa na kutesa wananchi kwa ukosefu wa huduma bora za afya, elimu,maji barabara na mazuri mengineyo ambayo ni haki yao? upuuzi mtupuSekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.
Kianan kwa nini asiendi Mtwara kuwaelezea hizo ilani za ccm ili waache kuandamana?Sekretarieti ya CCM Taifa ikisafiri toka Dar kwenda Kigoma kwa usafiri wa Train, leo wamefunika Saranda wilaya ya Manyoni Mkoani Singida, umati mkubwa wa watu umehudhuria na Katibu Mkuu Abrahamani Kinana alitoa salam za Chama katika utekelezaji wa Ilani. Baada ya hapo alishiriki kula chakula na abiria wengine km kawaida.