Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,327
- 5,546
Ndo Leo walijua hlo
Acha Uchizi Tuliofanya Interview Pale Maktaba Complex Walikua Wanabandika Majina.Kwahiyo ulipiga picha hayo majina 29,000?
Kweli mkuuHili dude la sekretariate ya ajira bora lingefutwa tu. Halina kazi lolote zaidi ya ubaguzi
Alisikika kijana mmoja aliyekosa akilalama....."in Troll JF voice##Hili dude la sekretariate ya ajira bora lingefutwa tu. Halina kazi lolote zaidi ya ubaguzi
Wewe kama umepata hiyo kazi huko tra utakuwa hasara kwa taifaAcha Uchizi Tuliofanya Interview Pale Maktaba Complex Walikua Wanabandika Majina.
Fanya hivyo kaka, hili suala tusiliache kabisa lipite. Huu uhuni sasa ufike mwishoKuna watu kibao wapo wamepata afu hawapo kwenye orodha ya awali..namalizaia kusort majina yao then ntarushia humu mfanye ku-compare wenyewe..dadadeki rushwaaaa
Hakuna Rushwa Mi Nimepata Hata Simfahamu MTU!Kuna watu kibao wapo wamepata afu hawapo kwenye orodha ya awali..namalizaia kusort majina yao then ntarushia humu mfanye ku-compare wenyewe..dadadeki rushwaaaa
Mkuu sidhani kama kuna rushwa yeyeto hapo me nimepata na simjui mtu yeyoteHakuna Rushwa Mi Nimepata Hata Simfahamu MTU!
Mkuu sidhani kama kuna rushwa yeyeto hapo me nimepata na simjui mtu yeyote
Wewe una majina ya kanda zote? Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.Chukua sample hii kisha compare na list ya awali ya majina ya walioitwa kwenye usaili kikanda then utakubaliana nami kuwa baadhi ya majina yamechomekwa au ndo kanzidata????...Irene Jackson Tairo,Flora Erasto,Martha Raymond Mlwilo.ukicheki wote wameitwa kazini
Asante mkuu, wawe tu wavumilivu Mungu atawatendea kwa wakati wake.hahah Vijana Acheni wivu, Hongereni wakuu wote mliopata kazi, maana si mchezo.