Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

Kuna watu kibao wapo wamepata afu hawapo kwenye orodha ya awali..namalizaia kusort majina yao then ntarushia humu mfanye ku-compare wenyewe..dadadeki rushwaaaa
 
Fanya hivyo kaka, hili suala tusiliache kabisa lipite. Huu uhuni sasa ufike mwisho
 
Chukua sample hii kisha compare na list ya awali ya majina ya walioitwa kwenye usaili kikanda then utakubaliana nami kuwa baadhi ya majina yamechomekwa au ndo kanzidata????...Irene Jackson Tairo,Flora Erasto,Martha Raymond Mlwilo.ukicheki wote wameitwa kazini
 
Mi sina ndugu utumishi na wala si mtoto wa kibopa ila nimepata, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, utumishi wamejitahidi sanaaa.
 
Chukua sample hii kisha compare na list ya awali ya majina ya walioitwa kwenye usaili kikanda then utakubaliana nami kuwa baadhi ya majina yamechomekwa au ndo kanzidata????...Irene Jackson Tairo,Flora Erasto,Martha Raymond Mlwilo.ukicheki wote wameitwa kazini
Wewe una majina ya kanda zote? Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
 
Back
Top Bottom