Sekretarieti ya Ajira Nasubiri Majina ya kupangiwa kazi TRA Niweze Kulinganisha na Picha za Majina mliokua mmebandikwa.

mtu unaulizwa what is smuggling hujui,unaulizwa ni mambo gani kama custom officer hutakiwi kuyafanya hujui,wengine hata kutaja kazi za custom department walishindwa.bado unataka upewe ajira kweli?[/QUOTE..
 
mtu unaulizwa what is smuggling hujui,unaulizwa ni mambo gani kama custom officer hutakiwi kuyafanya hujui,wengine hata kutaja kazi za custom department walishindwa.bado unataka upewe ajira kweli?
Baba mzeya unataka kusema hao vijana ni hewa kabisa au. Na ww umepata wapi hzo taarifa
 
mtu unaulizwa what is smuggling hujui,unaulizwa ni mambo gani kama custom officer hutakiwi kuyafanya hujui,wengine hata kutaja kazi za custom department walishindwa.bado unataka upewe ajira kweli?
Hii kasumba tu kama Kasumba nyingine tu
 
a92be3acd04ee63eef36ec8a6bf6eb12.jpg

Serikali yamwaga ajira 400 TRA
 
ngoja tumpelekee mange malalamiko
Uo ndo ungese wakipumbavu unamwambie mange ye ndo nani ye ndo kakuita uwende kufanya interview au unauwakika gani kama serikali inania mbaya mbona vijana siku hizi mmekosa imani na serikali yenu mpaka unaenda kumwamini mtu ambaye yukk nje acha mambo ya kifala wewe naamini ndo mtaenda kuaribu kila kitu maana mta draw attention za watu mpaka mtakosa hizo nafasi kabisa kama ujafanya hiyo oral ni kheri ukae kimnya na sio kishadadia mambo yasiyo kuhsu kenge wewe......kamwambie basi mange akuaajili
 
mbona mapovu yanakutoka mzee
 
Wakuu katika Usaili ambao unawasumbua Utumishi Mpaka Sasa ni Wa TRA kwanza Kabisa walikosea Kubandika Majina Ukutani.

Mimi Nilipiga Kada ya Taxation Officer-II, Revenue Officer-II na Customs Officer-II Mungu Mkubwa Nina Majina Yote Niliyoyapiga Picha Pia Nikayachukua Na Video ambayo Unaweza Ku Play.

So Vijana Msiwe na Shaka Mpaka Sasa Vichwa Vinawauma Watachomekaje Madiwani waliojiuzulu! Na Watoto wa Vigogo kama Ilivyozoeleka kwenye kazi za Taasisi Kubwa.

Walisema Matokeo yatatoka Ndani ya Siku 14 Mimi Niliambiwa Kila Mwisho wa Usaili wa Mahojiano Katika Post Zote kuwa Majibu yatapatikana Kwenye Tovuti ndani ya Siku 14 Nikipiga Hesabu Tax Officer nilipiga Tarehe 24 , Customs tarehe 27 nikamalizia Na Revenue tarehe 28 nikipiga Hesabu tarehe 28 ambapo ndo Saili zote zimeisha Tukiongeza Siku 14 ni kwamba

Hadi Leo wana Jamii Forums Tumetimiza Siku 21 Bado wanapambana Kuweka watoto wa Vigogo Sioni Kitu Kinachochelewesha Kupanga Watu 800 hivi maana Post Nyingine watu walijirudia.

Kwanini Watu 800 wamechukua Sikh kibao Kuliko Kusahihisha Karatasi za watu 29,000 kwenye Oral?.
KAMWE WEWE UWEZI KUFAULU LABDA YATOKEE MAAJABU....WALALAMIKAJI HUWA HAWAFAULU ......
 
Hizo nafasi 400 ni Mpya au ndo zilezile zinaanza kupigiwa siasa ili waonaekane serikali imetoa ajira kibao..mana sio kwa kuzitangaza huko yangu July mpaka Leo wimbo ni nafasi 400 za tra
 
kwenye friji una ndizi ulinunua kwa ajili ya kulia wali usiku.... bahati nzuri jirani akawa na kasherehe.. akakuletea birian au pilau nawe hapo home... ukichukua ndizi zako za jioni kulia na pilau lako la mchana lililokuja ghafla utakuwa umefanya makosa???

kazi za tra anafundishwa mtu yeyote mwenye taaluma wanazohitaji hao tra.. mfano mhasibu, it, yoyote yule.. so kama utumishi kwenye data base yao wana wahasibu au hizo taaluma waliofanya vizuri interview hata za kwenda wizara kilimo na wakabaki reserve kwenye data base...

wana uwezo wa kuwatumia hao reserve kwenye nafasi za tra kama wanatimiza vigezo tu...

sizani kama ni jambo la kutumia akili nyingi kujua kama linawezekana

Keep In Mind TRA hawajawahi Kutangaza Kazi Kupitia Utumishi Sasa hao Wa Kwenye Data Base Wanatokea? Wapi? Nakupa Ujanja Wa Kwenye Data Base huwa wanapangiwa Kazi ambazo Hazijatangazwa Hiyo Ndo Siri nakuibia ile utumishi wamepewa Taarifa na Idara, Wizara, Mamlaka husika ndo Hupanga walioko kwenye data Base Ili kuepuka Gharama

Kazi Za TRA hazina Kanzi Data Ila Waliofaulu vizuri Usaili wa TRA wanaweza Kupangiwa kazi katika Kada ambazo hajitangazwa au wasiporipoti ndo wanawapeleka huko Kuziba Nafasi.

So Kwa Sasa Huwezi Kuweka Kanzi Data Never
 
Waliowafanyia interview bado kitendawili Leo wanajinasibu kutangaza nafasi zingine...hii tz na siasa cjui tutaacha lin? Makinikia style
 
mimi nadhani ni zile zile ambazo zishafanyiwa interview
 
Wakuu katika Usaili ambao unawasumbua Utumishi Mpaka Sasa ni Wa TRA kwanza Kabisa walikosea Kubandika Majina Ukutani.

Mimi Nilipiga Kada ya Taxation Officer-II, Revenue Officer-II na Customs Officer-II Mungu Mkubwa Nina Majina Yote Niliyoyapiga Picha Pia Nikayachukua Na Video ambayo Unaweza Ku Play.

So Vijana Msiwe na Shaka Mpaka Sasa Vichwa Vinawauma Watachomekaje Madiwani waliojiuzulu! Na Watoto wa Vigogo kama Ilivyozoeleka kwenye kazi za Taasisi Kubwa.

Walisema Matokeo yatatoka Ndani ya Siku 14 Mimi Niliambiwa Kila Mwisho wa Usaili wa Mahojiano Katika Post Zote kuwa Majibu yatapatikana Kwenye Tovuti ndani ya Siku 14 Nikipiga Hesabu Tax Officer nilipiga Tarehe 24 , Customs tarehe 27 nikamalizia Na Revenue tarehe 28 nikipiga Hesabu tarehe 28 ambapo ndo Saili zote zimeisha Tukiongeza Siku 14 ni kwamba

Hadi Leo wana Jamii Forums Tumetimiza Siku 21 Bado wanapambana Kuweka watoto wa Vigogo Sioni Kitu Kinachochelewesha Kupanga Watu 800 hivi maana Post Nyingine watu walijirudia.

Kwanini Watu 800 wamechukua Sikh kibao Kuliko Kusahihisha Karatasi za watu 29,000 kwenye Oral?.
Kwahiyo ulipiga picha hayo majina 29,000?
 
Back
Top Bottom