Sekretariete mpya CCM, yavuja!

Nachojua mimi hakuna team kwa sasa ambayo inaweza kuivusha CCM 2015, Kinachotakiwa kutajwa ni Team itakayoifanya CCM kiwe Chama kikuu cha Upinzani kuanzia 2015 ukisema hivyo ntakubaliana na wewe.
 
Will never happen on earth Mangula kurudi? We check tu jamaa anavolalamika kuwa kundi la Mwandosya lilimuumiza sana, and just try to picture out Mangula alikuwa kundi gani at that time halafu sasa amrudishe????
 
Mangula hawezi kukubali kufanya kazi ndani ya mazingira ya sasa ngazi ya taifa bali ngazi ya mkoa (iringa), na kama wangekuwa wanamhitaji wasingemuwekea mizengwe uongozi wa CCM Mkoa chaguzi mbili mfululizo, vinginevyo angewasaidia sana nyanda za juu kusini;
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM

Kuivusha CCM kwenda wapi? Ikulu au upinzani kikiwa hakijasambaratika? Ni muhimu CCM ijipange kwa yote haya mawili; Vinginevyo kufanya cosmetic changes huko juu sio solution ya chama, sana sana itakuwa ni solution kwa wagombea fulani fulani na solution hiyo itaishia ngazi ya chama tu kubakia bakia pamoja kinafiki kuelekea 2015, sio kubadilisha mwelekeo wa umma kuelekea 2015; Zaidi ya 50% ya watanzania wameshafanya maamuzi juu ya kura zao ziende wapi 2015, na uamuzi huo hauwezi kubadilishwa kwa kubadilisha kamati kuu au sekretariet;
 
Nawashauri wampe Siphia Simba ukatibu mkuu( after al ni zamu ya kinamama sasa mbona mlimweka Bi Kiroboto kuwa speaker)?. Nafasi ya makamu mwenyekiti apewe Lusinde na katibu mwenezi apewe Nchemba na fedha wampe Chenge akaongee vile vijisenti vya rada
 
it'll be a dream team; hasa wakimrudisha Mang'ula ambaye wamemuacha pembeni. Hilo la Diallo na la Migiro wanaweza kweli kuingia.

Dream team for who, The Top or The Bottom? Pia Mangula mimi sidhani kama atakubali kutumikia chama ngazi ya taifa chini ya uongozi wa sasa; Vinginevyo Mangula remains to be a very important asset for CCM, lakini angependelea zaidi kuongoza chama ngazi ya Mkoa wa Iringa, na kule angesaidia sana chama nyanda za juu kusini; Vinginevyo kitendo cha kumchakachua katika chaguzi mbili mfululizo ngazi ya Mkoa, inatia shaka iwapo wanamuhitaji kwa dhati;
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM

Mbona Hakuna Makatibu Wakuu Wasaidizi? Mmoja Tanganyika Mwingine Zanzibar?
 
Will never happen on earth Mangula kurudi? We check tu jamaa anavolalamika kuwa kundi la Mwandosya lilimuumiza sana, and just try to picture out Mangula alikuwa kundi gani at that time halafu sasa amrudishe????

Si juzi juzi tu Wamemtupia GARI MPYA eti yake ya ZAMANI imechoka... Sasa kama yeye sio MLAFI kama Wengine ndani ya CCM; Angeipiga kibao na kurudi CCM... Kaidandia na kwenda NZEGA kwenye UCHAGUZI wa MBUNGE... Hana chochote ni wale-wale TUU!!!
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM
natofautiana nawe kidogo, kikosi nilichonacho mimi kinataja makamu mwenyekiti atakuwa mwanamama

Makamu Mwenyekiti-Asha-Rose Migiro
Katibu Mkuu -Nape Nnauye
Katibu Mwenezi - Ngeleja
Mambo siasa na nje- jina halijanifikia bado
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

lengo lao ni kutumia nguvu ya kinamama na vijana katika kukinusuru chama na wengine wanapanga na mgombea urais kwa tiketi ya ccm awe huyo anaetajwa kuwa makamu mwenyekiti
 
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;

Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo

TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM

Mfumo Kristo huu
 
wewe unayesema Mangula is the gud Architect in that field,umesahau kwamba alikuwapo mwaka 2000, u mean yeye ndio aliye chora jamaa akapita?

Ndiyo mwaka 2000 Mangula alikuwepo na Mkapa alishinda!! Hata lile jimbo la Lwenje kule Njombe, bila Mangula kuwasaidia kwenye uchaguzi wa 2010 lile jimbo lilikuwa linachukuliwa na Nyimbo wa chadema!!
 
Back
Top Bottom