Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;
Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo
TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM
CCM ni ni taasisi kubwa sana hakuna siri zinavuja kijinga jinga kama Chadema
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;
Makamu Mwenyekiti- Phillip Japhet Mangula
Katibu Mkuu -Mulongo (kwasasa RC ARUSHA)
Katibu Mwenezi - Nape Nnauye
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
Mipango na Oganizesheni- Samiah Suluhu Hassani
Mweka Hazina - Anthoni Mwandu Diallo
TIMU HII IMEKAAJE?.....HASA KWA EL NA CDM
Kikosi kipya cha kuivusha CCM 2015 hii hapa;
Mambo siasa na nje- Asha-Rose Migiro
mkuu hapa ujuaji mwingi mbele giza, au umeota ndoto zako za mchana baada ya kuzidisha viroba
hii ndio sawa kabisa...heading ingesomeka hivi...HAWA NDO WATAKAO BEBESHWA JENEZA LA CdM HADI kaskazini...
Phew!, Philip Mangula nilijua Philip Mulugo..
Mangula, Migiro, Diallo....sidhani kama watakuwepo kwenye hiyo safu! CCM ya sasa ni ya watu wa 'type' ya kina Nape, Mukama, Wasira, Sophia Simba...wanasiasa feki feki hivi waliokaa kimipasho mipasho!
mbona yanayotekea kwenye mikutano ya ndani huwa yanaandikwa kwenye magazeti A-ZCCM ni ni taasisi kubwa sana hakuna siri zinavuja kijinga jinga kama Chadema