Hawa jamaa nilifanya usaili wao mwaka 2012 kada WEO II iliyofanyika Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tabora, tulikuwa 20 tukafanya written interview tukachujwa tukabaki watano, tukafanya oral interview lakn cha kushangaza mpaka leo hatujaitwa kazini na hakuna WEO II aliyepangwa katika mkoa wa tabora. Nimefatilia sn mpaka pale kwenye jengo lao Maktaba complex nikaonana na mzee mmoja ambaye ni incharge anaitwa Muna alichoniambia serikal hawana hela ya kuajili na itakapopata mtaitwa kazin kwan tuko kwenye kanzi data. nikamuuliza kwamba hamjui kwamba mnatutia hasara mana gharama za usafiri, malazi na chakula vinakuwa juu yetu? yule mzee akawa mkali km defensive mechanism yake. wito wngu ni bora ajira zirudishwe huku chini mana nafac nying ziko wazi na weng wanakaimu na ndo mana utendaj unakuwa wa kubahatisha na hakuna tija na hiki chombo ni bora kifutwe tu mana matangazo ya kaz ni meng kuliko hata kuitwa kazini. ulaj huo
Kwa malalamiko yako sawa ila kwa ushauri wako wa kusema kua ziludishwe huko chini ni ovyo.Unajua tuwe wa kweli hawa jamaa wamejitahidi sana ktk kusimamia na vijana wengi ambao hawa baba wala ndgu wa kuwa beba wamepata ajira.Hivyo hizo ni changamoto ndogo ndogo ammbazo zinasababishwa na serikali kwa kukosa fedha.
Mimi naamini wote wanaosema kua hizo ajira zirudishwe huko chini ni wale ambao wanajua fika kua huko chini kuna wa kuwa beba.
Ushauri kwa Secretariat ya ajirra ni kuwa wajitahidi kurekebisha baadhi ya makosa na wawe wafanisi zaidi, na matukio ya baadhi ya watumishi ambao sio waaaminifu basi wawekwe pembeni ili kuondoa harufu ya Rushwa.Kuna baadhi ya nafasi zinazotolewa kwenye taasisi nzuri kama NAO kuna kua na harufu ya Rushwa sana , liangalieani hilo.
Mimi sijawahi bahatika kupata ajira kupitia Utumishi lakini nimefanya sana mitihani yao mpaka hatua ya Oral, hivyo nathibitisha kua wapo fair na nawapongeza endeleeni na hali,kasi hiyohiyo.Jamani Watanzania wenzangu yuwe na tabia ya kupongeza pale watu wapo fanya vizuri kwa kuwatia moyo,sio kulalamika tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu bila hata mwenyewe kufikili kua je hili tatizo chanzo nani? je ni Taasisi au Serikali kukosa fedha?
Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira! Hongera secretariat ya ajira!
Ushauri: Fanyeni utafiti kwa walio pata ajira kupitia Taasisi hii na kujiaminisha je wamepata kwa njia ya kujuana kama ilivyokua awali kabla ya Taasisi hii? Ukweli ni hapana ,ni vijana wengi wamepata kwa haki kabisa.
Mwisho: mimi sio mfanyakazi wa hiyo Taasisi bali ni mdau tu ambaye pia nipo mtahani natafuta ajira huku nikiendele na shughuli zangu, ila nawakubali ktk utendaji wao.Pia Taasisi hii isiishie hapo tu bali iende zaidi mpaka kwenye taasisi za uma kama PCCB.TANAPA,TPA,TPDC,.............etc