SEKEI ARUSHA:Mchango wa lazima 20,000 tshs

SEKEI ARUSHA:Mchango wa lazima 20,000 tshs

wewe usizungumze vitu usivyovijua mimi sina utaahira wa ubongo hadi nije kuropoka jambo lisilona ukweli kama umetumwa uje ukanushe ni bora ukaja sekei kuanzia maeneo ya idara ya maji na sehemu za muungano ufanye upate majibu maana ni familia nyingi zimekutwa na balaa hilo
Acha ujinga mwenyewe umesema mchango umetoka 20,000 hadi 70,000 bila maelezo yanayieleweka.
 
despite ni halali kama usemavo, ila wafikisha taarifa hawafikishi taarifa vizuri kiasi kwamba kama unamfikishia mtu taarifa kwa maneno ya mdomo tu hakuna maadishi ya uthibitisho na pia pengine huyo mtu humjui na hakujui unataka tu ela as if unaomba karanga haipendezi isitoshe watu wengine sio wazawa wa mitaa hiyo, ni wageni wakupanga na taari zikifikishwa in an amateur way hupati kitu obviously...........
Diwani wa Sekei mi wa CHADEMA anaitwa Mheshimiwa Deus Kessy. Ila eneo linalolalamikiwa halipo kata ya Sekei bali kata ya Kiutu.

Mchango huu ni wa halali kabisa kuchangia maendeleo na vikao vya tangu mwaka Jana 2017 vilishaamua mchango uwepo. Mwenyekiti wa kijijini Sekei mheshimiwa Daniel Sambu Sagiraki amefanya kazi kubwa kuhamasisha maendeleo haya.

Tuwaunge mkono viongozi na kama hukutoa 20,000 ndani ya muda uliowekwa basi lipa tu hio elfu 70 na faini.

Na ujifunze kuhudhuria vikao/mikutano ya kijiji
 
Back
Top Bottom