Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
...Afanye hivi ili chama chake kifanye harakati ya kuiondoa Zanzibar kutoka kwenye Muungano na Wazanzibar wakikubali kwenye kura ya maoni yao basi CUF ikishika madaraka Zanzibar ifikirie namba ya kuingia kwenye "muungano wa Mkataba' na nchi yoyote nyingine (si lazima iwe Tanganyika). Kwa kufanya hivi Seif ataonesha mfano kwa viongozi wengine wote wa Zanzibar wenye kuamini Muungano wa Mkataba kutoka kwenye nafasi zao na pia wale Wazanzibari walioko kwenye huduma ya Muungano wa sasa watoke. Lakini zaidi sana Seif akiamua kujiuzulu nafasi hizo wabunge wake wa CUF walioko kwenye Bunge la Muungano nao waamue kufuata mkumbo ili harakati za Uhuru wa Zanzibar (secession) zianze rasmi zikiongozwa na Seif.
kazi kweli kweli.Chuki dhidi ya Wazanzibari at work practically!!! Kimenuka kwenu katu hamuwezi kutufitinisha tena. Wacheni majungu yatawamaliza tumieni muda kuitafuta Tanganyika yenu.
Seif hana ubavu wa kujiuzulu. Tangu alipogeuzwa nyumba ndogo ya CCM na kuwasaliti wazanzibar amekuwa mtu wa ajabu karibu sawa na Cheyo na Mrema. Tamaa yake ya madaraka itamtokea puani. Sasa anapima aendelee miaka mitatu iliyobaki au alikoroge ili agombee mwaka 2015 anajikuta msambweni. Seif hana udhu wala mvuto tena kwani ni kigeugeu na mchumia tumbo wa kawaida sawa na Amani Karume anayeongelea Muungano baada ya kuzuiliwa kugombea urais wa muungano. Mbona hakuyasema hayo wakati akiwa madarakani. Heri ya mzee Aboud Jumbe alijaribu ingawa wenzake walimgeuka akiwamo Seif kabla ya kuonyeshwa mlango baadaye.
Kwa nini? Wananchi wakiamua haliwezekani?Hakuwezi kuwa na Muungano huo wa MKATABA hata siku moja. Kuna taifa moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lenye mamlaka kamili ya dola. Hakuna mbadala wa hili.
Chuki dhidi ya Wazanzibari at work practically!!! Kimenuka kwenu katu hamuwezi kutufitinisha tena. Wacheni majungu yatawamaliza tumieni muda kuitafuta Tanganyika yenu.