deo lekule
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 258
- 149
Bado anaitajika hata kama ataamua kupumzika
Ni kweli anaweza kuwa hata mwenyekiti wa baraza la wazee.Bado anaitajika hata kama ataamua kupumzika
Sasa hujui kuwa CUF ni chama kilichotamalaki Zanzibar tu. huku bara imekuja kwa bahati mbaya tuJee CUF ni lazima iongozwe na mzanzibari tuu.
kwikwikwikwikwiiiiii. Nilipe Nisepeeeeeee! Fastaaaaaaa!Ni wakati wa kutafakari saaana, kwa kuwa tayari CUF imeshateleza anatakiwa kiongozi wa kuifanya iwe ngangari kama kipindi kile cha CUF ilipotamalaki. Sasa haina pesa ndo watu waleee wanasepa wanatuacha tukiwa hooooi.
Napendekeza Jussa aachiwe mikoba.
Cuf iko Zenji, bara ni wamebebwa na mwamvuli wa ukawa.ingekufa,usinge itaja taja humu!by the way,mbona uku bara i hai na ina dunda!
Jamaa katuacha hoi sana, kwa staili hii hata anayekuja atapata taabu kukijenga upya chama chetukwikwikwikwikwiiiiii. Nilipe Nisepeeeeeee! Fastaaaaaaa!
Huko Zenji kwenyewe hatuna pa kusemea jukwaa lote tushawaachia manyani watawale. Tunaishi kwa kutegemea ruzuku za wabunge wa bunge la Muungano. Kuna sehemu tumebugi saanaCuf iko Zenji, bara ni wamebebwa na mwamvuli wa ukawa.
Juma Duni naye mzee piaKuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
Kwa mahali alipofikia anastahili pongezi, na hakuna namna ya kuendelea na maisha ya siasa ya kidemocrasia kwani haipo Tanzania. labda tuchukue tabia za sudani kusiniKuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
pumba.Ni uamuzi wa busara sana huu, he is simply done!. Vingekuwa ni vyama vya kidemokrasia, kile tuu kitendo cha kutokuchukua hatua zozote stahiki za kupinga yale madudu ya Jecha!, alipaswa awe fired kitambo!. Kitendo cha chama kuingia kwenye kususia uchaguzi 'halali' wa marudio, (batil isipokanushwa, inageuka halali), bila kuwa na plan ya what you want to achieve kwa kususa, pia kilitosha kumfanya atimuliwe!.
Watu tumeuliza humu haya maswali, hakuna aliyejibu!, CUF is officially simply done!.
Hebu someni, muongalie watu tulisema nini na lini, na leo kinatokea nini!.
Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Zanzibar: Kama Maalim Kajitangazia Ushindi, kwa nini hajashit
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazim
Pasco
Mkuu pole pole usipanick mbona huwa mnapost sana za wenzenu? Huyu kapost kama mtanzania tu kama ilivyo kwa wengine kuwa huwezi kuona au kusikia jambo na kukaa kimya.Yanakuhusu Nini ya C.U.F