Tetesi: Seif Shariff Hamad aomba kuachia ukatibu mkuu CUF

Hivi bado kuna kaf duniani kumbe


utaifakwanza;
Yaani maswali yako ni ya kitoto kabisaaaa. Kumbuka, kuna sehemu kuubwa Tz unaweza kwenda ukiona bendera ya ccm unashangaa kwamba hivi hiki chama nacho bado kipo?? Unakoishangaa CUF nako ni kama kamtaa tu ukilinganisha na sehem zingine bara. Hivyo usishangae kuwa bado kaf ipo hai.
 
Mambo magumu
Hehehe ndio wakati huo
Maana siasa za Tanzania huvuma kama upepo
 
Kwa lafu walizo mchezea ccm hata akipumzika sio mbaya sana amejitahidi kupambana kadli ya uwezo wake lakini ndio hivyo tena wanasema hadithi haiwezi kunoga bila sungura. awaachie Na wengine wajaribishe bahati yao.
 
Back
Top Bottom