Tetesi: Seif Shariff Hamad aomba kuachia ukatibu mkuu CUF

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,995
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
 
Ni uamuzi wa busara sana huu, he is simply done!. Vingekuwa ni vyama vya kidemokrasia, kile tuu kitendo cha kutokuchukua hatua zozote stahiki za kupinga yale madudu ya Jecha!, alipaswa awe fired kitambo!. Kitendo cha chama kuingia kwenye kususia uchaguzi 'halali' wa marudio, (batil isipokanushwa, inageuka halali), bila kuwa na plan ya what you want to achieve kwa kususa, pia kilitosha kumfanya atimuliwe!.

Watu tumeuliza humu haya maswali, hakuna aliyejibu!, CUF is officially simply done!.

Hebu someni, muongalie watu tulisema nini na lini, na leo kinatokea nini!.
Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Zanzibar: Kama Maalim Kajitangazia Ushindi, kwa nini hajashit
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazim

Pasco
 
ingekufa,usinge itaja taja humu!by the way,mbona uku bara i hai na ina dunda!
 
Kama ndivyo atakuwa ana kiacha chama chake katika kipindi kigumu sana,sita sema ni kukata tamaa au ni utoro maana sababu za kiafya zina jitosheleza sana sina hakika tu na hili la umri kuwa sababu.
 
Kweli apumzike awaachie vijana wakimbize mustakbali wa CuF! Ila awe mshauri wao maana vijana wataenda mbio sana........sehemu isiyostahili kwenda mbio! Wajipange uchaguzi ujao!
 
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
Maaalim Seif Sherriff Hamad, rigwaride la CCM limemushinda!!!
 
Kuna tetesi kuwa Katibu mkuu wa CUF anataka kuachia cheo cha Ukatibu mkuu wa CUF kwa sababu za kiafya na umri na anataka amwachie Duni HAJI.Lakini kuna upinzani mkubwa ndani kwa ndani wahafidhina hawamtaki Duni HAJI.
Mhhh!!!!..ngoja niweke akiba ya maneno.
 
Ni uamuzi wa busara sana huu, he is simply done!. Vingekuwa ni vyama vya kidemokrasia, kile tuu kitendo cha kutokuchukua hatua zozote stahiki za kupinga yale madudu ya Jecha!, alipaswa awe fired kitambo!. Kitendo cha chama kuingia kwenye kususia uchaguzi 'halali' wa marudio, (batil isipokanushwa, inageuka halali), bila kuwa na plan ya what you want to achieve kwa kususa, pia kilitosha kumfanya atimuliwe!.

Watu tumeuliza humu haya maswali, hakuna aliyejibu!, CUF is officially simply done!.

Hebu someni, muongalie watu tulisema nini na lini, na leo kinatokea nini!.
Kifo cha CUF hichoo..chaja! Upinzani kubaki CHADEMA
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua
Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? |
Zanzibar: Kama Maalim Kajitangazia Ushindi, kwa nini hajashit
Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa
CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazim

Pasco
Tatizo ni kwamba mahaba yamewazidi watu mpaka wanasahau kutumia akili zao.....
 
Back
Top Bottom