Sehemu za siri zanyimwa haki marekani

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
ndugu wana Jf haya ndio maendeleo yanayokuwa kwa kasi ya ajabu USA,Hebu jisomee na uone jinsi sehemu za siri zinavyo nyanyaswa huko USA

Haya ndiyo maendeleo wanayojivunia. Ya wanaume kuwa na uhusuano wa kimapenzi na wanaume wenzao. Yashangaza kuwaona wanawake wakikiuka kanuni za kimapenzi; kwamba sharti mwanamke aridhishwe kiu na mwanamume bali sio mwanamke mwenzake. Hii ndiyo demokrasia wanayoizungumzia na kuitangaza kote ulimwenguni. Dhambi ya aina hii imeambukizwa vijana pia huku Marekani na huwezi katu kuwakaripia maanake sheria za nchi zinalinda demokrasia, kama wanavyosema. Unapotazama filamu zao mojawepo ya maudhui ni ngono za jinsia moja.

Inapotukia ngono kati ya mwanamume na mwanamke, mambo yanakuwa ya firauni sasa. Midomo imechukua nafasi ya sehemu za siri ya mwanamke na mwanamume.Yashangaza kusikia jinsi hawa 'walioendelea' ni wachafu hasa katika midomo yao. Mbona mwanamke anyonye shakawa za mwanamume huku mwanamume akipata uhondo katiba kukiramba kile kidude. Ikizidi wataziramba ngoko pia; kunakotokea kinyesi. Nimekuwa makini sana kutompa busu yeyote hapa Marekani maanake sijui dakika chache zilzopita alikuwa akifanya kazi gani na siko tayari kupakwa kinyesi katika shavu langu mie.

Kuna msamiati huku kwa jina sherehe za kimapenzi au kwa king'eng'e wanaziita 'sex parties'. Hapa swala kuu si kuonja vyakula mbalimbali vilivyotayarishwa bali ni kumuonja yeyote yule aliyekuja. Hamna faragha hapa. Ngono zitafanywa wazi sakafuni, kutani, vitandani kwenye makochi n.k. Juzi kumekuwa sherehe hapa chuoni Brown. Waliita sherehe yao 'Gay Students Association'. Ili uweze kukubalika, ulihitajika kuja pale ukiwa uchi au chupi na kanchiri pekee. Nilikuwa pale kushuhudia jinsi 'demokrasia' imekengeusha wanafunzi Wamarekani.

Usimwone binti na ghulamu wamekubatiana ukadhani itakuwa hivi hadi kifo kitakapowatenganisha. Jana binti huyu alikuwa na boifrendi tofauti na juzi na atakuwa tofauti pia ijapo kesho kutwa. Katika ndoa ni vivyo hivyo. Iwapo mwanamume ameanza kulegea basi huenda akaletewa ndume kazi kitandani mwake. Katika matangazo yao utaona tangazo kama hili;

"Mimi na mume wangu tumeamua kuwa na mhusika wa tatu katika ngono. Ningependa
kumtazama mume wangu akifanya ngono na mwanamke mwingine...."

Mniambie Wakristo nikidhani pia Waislamu, je haya yanakubalika katika dini? Licha kwamba wenzetu hawa ni matajiri wa tekinolojia wao ni maskini hohehahe wa kimaadili. Nina uhakika bara la Afrika ndilo linaongoza ulimwenguNI katika kuwa na utajiri mkubwa wa maadili ya jamii.

mapinduziiiii daimaaaaaa:bump::A S crown-1:
 
watu weupe wamechanganyikiwa ndugu. Mungu na vitabu vya dini havina nafasi tena kwa kiwango kikubwa. Wametanguliza raha/ starehe/ anasa za dunia.
 
[SIZE=-1]Genesis 13:13[/SIZE][SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]Now the men of [/SIZE][SIZE=-1]Sodom[/SIZE][SIZE=-1] were wicked and were [/SIZE][SIZE=-1]SINNING GREATLY[/SIZE][SIZE=-1] against the Lord.[/SIZE][SIZE=-1][/SIZE]
[SIZE=-1]Genesis 19:4-5, 11-13, 24[/SIZE][SIZE=-1] [/SIZE][SIZE=-1]Before they had gone to bed, all the men from every part of the city of Sodom - both young and old - surrounded the house. [5] They called to Lot, "Where are [/SIZE][SIZE=-1]the men[/SIZE][SIZE=-1] who came to you tonight? Bring them out to us so that we can [/SIZE][SIZE=-1]have SEX WITH THEM[/SIZE][SIZE=-1]." ... [11] Then [/SIZE][SIZE=-1][the messengers from God][/SIZE][SIZE=-1] struck the men who were at the door of the house, young and old, with blindness so that they could not find the door. [12] The two men said to Lot, "Do you have anyone else here - sons-in-law, sons or daughters, or anyone else in the city who belongs to you? Get them out of here, [13] because we are going to destroy this place. The outcry to the [/SIZE][SIZE=-1]LORD against its people[/SIZE][SIZE=-1] is so great that [/SIZE][SIZE=-1]HE has sent us to DESTROY it."[/SIZE][SIZE=-1] ... [24] Then the LORD [/SIZE][SIZE=-1]rained down[/SIZE][SIZE=-1] burning sulfur on Sodom and Gomorrah - from the LORD out of the heavens.[/SIZE]
 
Hayakubaliki kidini hata kwenye maadili yetu.....ni basi tu watu kupenda kuiga vitu vya kishetani.....:coffee:
 
duuhh
haya tena
rudi tu nyumani my dear lol

hawa watu ni matajiri wa mali lakini utajiri wa Roho na akili zimepungua my dear ...
 
mhhhh, ujue pia kuna sex toys kibaoooooooo, na wateja kibaooooooo:crazy::crazy::crazy::crazy::crazy:
 
Story yako kuna maeneo umechakachua ulipoingia kwenye hiyo party ushiriki wako ulikuwaje?
 
Hapo ndio uone jinsi shetani anavozidi ku-gain power juu ya hawa jamaa!!!
 
Duh! Ujue huko wamesha laaniwa hao bac 2 mali ndo znawalinda 2uu alafu pia jiangalie na wewe ucje ukawa shoo.... Manakwenda kwenda na wewe ukaone kuwa makin ohooo
 
siko nje ya bongo na ninafanya kazi na wazungu, kwa kweli (Mungu anisamehe) huwa sipendi hata kusalimiana nao kwa kuwakumbatia au busu ya shavu, may be I am too conservative.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom