Sehemu za kutembelea hapa Dar

Hapana madam. Yale maji ni ya bwawa la Minaki hayatembei kwahiyo tuliambiwa wanaogopa magonjwa ya mlipuko. Ila niliambiwa pool is on the way.
Kweli na maji ya bwawani hua sio safe, wakileta pool itabamba.
Hizo activities zai nzuri sana
 
Jumapili ijayo ngoja nicheki ramani za kanisa .si unajua mi mzee wa usharika??
 
Beach Kidimbwi
 
Hahaha ila ukifika utataka uvimbe uoneshe we kidume utalipa wewe.., 🤣🤣
😂😂😂kwenye mserereko kama huu naanzaje kuvimba bro?? Yaan hapa n mwendo wa kula mbuzi choma mpaka nikiegamia tumbo humu kwenye mbavu mnauma kwa jins nlivoshiba
 
[mention]CONTROLA [/mention] umenikumbusha kwenye mavazi
Pigo ulizotaja ni kama ifuatavo kwa mwanaume

Hapo unaweza piga tishirt mfano wa body


Sandals za aina hiyo

Unaweza lamba summer hat moja na miwani au bila miwani ukitia hivo kwenye lascate mambo yanakua safi.
 
Boss itabidi nikucheki PM tuongee kabisa. Sema j2 hii kuna mechi Taifa ila tutachekiana PM nikuelekeze zaidi na namba za cm boss.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…