Sehemu yake ya siri imefungwa kishirikina asichepuke

Sehemu yake ya siri imefungwa kishirikina asichepuke

jifariji hivyohiyo, ungekatwa kimkia chako hicho wangekukamata.

halafu siku zote mtu hutumia defense mechanism pale anaposhindwa kufanikisha jambo fulani, et ''nina bible kweny sim''
Yakitokea kama yaliyonitokea ni kama ajali, mtu hukutegemea, baada ya hapo ndo unaanza kupiga akili njia tofauti tofauti za kujinasua...
 
Alisema wanaishi pamoja na kwahiyo mchumba wake mida hiyo anakuwa hayupo...wakati yeye yupo hom mda mwingi...

Huyo mwanamke hafanyi kazi,,.?..tegemea kuombwa heal ya saloon,vipodozi and the like.
 
Huyo mwanamke hafanyi kazi,,.?..tegemea kuombwa heal ya saloon,vipodozi and the like.
Mkuu, nishaachana naye, nimetumia hela ya mtoko tu na kutokana na hayo maswahiba sikutaka kuweka kambi...
 
Ukimfuta tena demu wake atahamishia network NYuma uko kwenye mpododo
 
mtu na chake bhana....! wangetokea km 500 tu nchi nzima, uzinzi ungepungua. big up jamaa wa kulinda Mali yake
 
Siku akikukamata wewe atafungua ya nyuma yako then kila ukitaka kuchepuka lazima isinyae na urudi kwa mshikaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom