Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 841
- Thread starter
- #21
Ningepiga..'kwa jina la Yesu' hadi payeyuke...Bado ni Jambo la kushukuru. Sipati picha angekuwa amewekewa dawa ya 'Kuwagandisha'. Sijui ingekuwaje. Yani watu mnagandamana hadi mwenye mali aje awagandue.