elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
wadau kuna mtu aliwahi kuniambia kuna mtandao wa kitanzania unahusika na kupost kazi za sanaa kama graphics, logos ambapo mtu akipenda kupitia mtandao huo mnaweza fanya biashara au shirikiana. Kuna anayejua huo mtandao anisaidie