Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

Hakuna haja ya kusumbua ubongo kufanya imaginations ambazo hazina mbele wala nyuma, kama mtu hauna evidence ya unachokisema, ni busara ukakaa kimya.....maana mdomo uponza kichwa.
 
Wee ni bonge la andazi sorry, ww ni bonge la kiazi.......

Yaaani Makonda kawashika fuzi za takor lazma mtembee mnainama walai.......

Yaani tukio la clouds ni kama ajali zingine ww ulitaka haya majanga yasiwapate clouds wao kama nani?
We mwenyewe huna uhakika.. bora ukakaa kimya!
 
Mtu mmoja tu hawezi kusumbua kwa kipindi chote kama sterling wa Kihindi , hata mitume hawakufanya hivyo
 
Bad news, pole sana CLOUDS! Changamoto zikizidi ndo ujue uko karibu na mafanikio.
 
Grace Bashite Mugabe anajua yote!! Ugomvi , watu 2 una cost familia zaidi 300 zinazotegemea mkate wao pale!! Bashite kweli Maliyamungu.....
 
Kwanini clouds. Na isiwe ITV? [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom