Ambilikisye anna
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 561
- 501
Lohhhh igogo kuna five star hotel mmmh hatari mwehhh!Mkuu unasema 5 stars ziko nyingi Mwanza? Ebu zitaje hapa ili wageni tuzijue
Lohhhh igogo kuna five star hotel mmmh hatari mwehhh!Mkuu unasema 5 stars ziko nyingi Mwanza? Ebu zitaje hapa ili wageni tuzijue
Habari ya mujini daraja la furahisha piga selfiee weeee kisha zama city mail halafu kawatembelee wamasai kuleeee darajan kwao ukimaliza ingia makoroboi
Ila watu wa dar mkijaga mwanza full mashauzi utadhan mkienda msalan mnatoaga mzigo wa dhahabu
hahahhahahahahhahaha umeuliza swali langu mkuu!Unapendelea starehe gani? Bangi, unga? Pombe, disco, Malaya? kuona wanyama pori.? Hebu Jieleze vzr tukushauri
Uende kanisani ukajichotee baraka, siku za mwisho hiziNenda yatch club karib na kivuko cha sanane
Hahahaha......Kwenye daraja la rocky city mall itapendeza zaidi. Tulienda siku ya xmass tulifurahi kwa kweli.
Mwanza hakuna Hotel yenye hadhi ya nyota 5Nenda mtaa wa igogo kuna hotel nzuri sana,,zipo nyingi tu 5star na beach za kufa mtu.
Kama ni hivyo sawa nimeelewaWewe naye mgumu kuelewa ni sawasawa uambiwe manzese au tandale hotel za five star zipo kibao
Umezingatia neno igogo kabla hujajibu?Mwanza hakuna Hotel yenye hadhi ya nyota 5
Igogo tena, unamuuza mwenzako.Nenda mtaa wa igogo kuna hotel nzuri sana,,zipo nyingi tu 5star na beach za kufa mtu.
unauliza sherehe msibani aisee. toka lini wafugaji wakawa na sehemu za starehe?Natarajia kuwa Mwanza kwa wiki mbili kuanzia tarehe 22 mwezi huu.Kwa wanaoifahamu Mwanza vizuri ni sehemu gani nzuri kwa starehe Mwanza.
Kama hujui usichangie tafadhali.