Seeking for advise

Hongera sana hapoo chuo umeshapata ingia in ur account ujuwe wamekujibu nini ppia uwe unaawasiliana nao jiandae kwa kuripot chuo na mengineo
 
Daaah! aisee! Kuna mtu kanipa namba hapa na nmewapigia tena wameniambia kuwa kama kuna ujumbe nlipokea basi nisubiri na ni kweli ujumbe nlipokea . Wameniambia siko peke yangu kwenye hili tatizo. Mimi naweza kuelewa ila wazazi sasa ndo kimbembe
Wanahisi unawadanganya, kama vipi wape simu wasikie sauti za huyo mtu wa chuo unayeongea naye. Mi mzee alikua mgumu afu mbishi.Nilichokua nafanya ni kumuelewesha uncle then uncle ndo anaenda kumuelewesha mzee mana ye ndo alikua anaelewana nae.
 
Kwenye account yangu there are no updates kama am selected or not alafu hakuna admission number wala nin wenyewe wananiambia niende during registration tareh 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…