Seduce me.....!!!!

Ohoooo!!!

-Ndumilakuwili-
hahahaahh, mwanamke wa kipare sina tatizo la apetaiti kabisa yaani, hata siku ukinipa mwaliko usitegemee kuwa nitadokoa dokoa niache mezani! lazima nipige deki sahani sibakizi hata ka sampo ka kupeleka kwa mkemia mkuu endapo nitakuwa, wakisema wapime mabaki ya chakula alichokuwa marehemu hawataaambulia kitu, hahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…