Secret Societies in Tanzania

Secret Societies in Tanzania

Good thing you mentioned Sabodo as an exception.

Nilikuwa nataka kumtaja kama exception.

Kuna watu huwa wanatoa michango kwa pande mbili zote zinazohasimiana kwenye chaguzi kwa matumaini kwamba yeyote akishinda wanakuwa wao wameshinda. Hivyo tusishangae kusikia kwamba Sabodo ni muwakilishi wa jumuiya ya wahindi, anatumiwa kiasi kwamba siku moja upinzani ukipata kuchukua madaraka wahindi wawe na pa kupenyea wakisema "sisi tulikuwa na Sabodo lakini hatukutaka kujulikana kwa kuogopa CCM".

It's just conjecture, but not totally implausible.

Well said, yote yawezekana. Labda tu wamemtoa kafara mwenzio ili wapate pakuendelea kutushika masikio
 
Nilichosema hapa ni kwamba, ili kuwa Freemason, inabidi uamini katika mungu wa aina fulani.

Kama mungu huyo ni Allah, Jehovah, Lucifer etc, hilo ni swali la upili, si swali la msingi.

Swali la msingi ni kwamba unaamini mungu?

Mimi kama Atheist siamini mungu yeyote. Allah, Jehovah, Lucifer etc.

Kwa hiyo, nashindwa kukidhi mahitaji ya swali la msingi kabisa la kuwa Fremason. Kitu ambacho kwa Mkristo au Muislamu si kweli. Wakeisto na Waislamu hawashindwi kukidhi mahitaji ya msingi kabisa ya kuwa Freemason. Hata kama Freemasonry ni kumuabudu shetani -something I dispute below-, kumshawishi mtu anayeamini katika kuwapo kwa mungu na shetani aache kumuabudu mungu na amuabudu shetani ni rahisi kuliko kumshawishi mtu ambaye hakubaki kuwapo kwa mungu wala shetani.

Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.

Mimi nikituma application ya kuwa Freemason nakuwa disqualified kwenye swali la kwanza tu, unaamini katika kuwepo kwa mungu? Nikijibu siamini, naambiwa out, hatukutaki.

Wakristo na Waislamu wanapasi hili swali. Kama kuna disqualification katika mungu gani itakuja baadaye. And the notion kwamba Wanaoamini mungu wa Wakristo na Waislamu hawawezi kuwa Freemasons inatokana na kutokuwa na elimu ya msingi kuhusu Freemasonry tu. Moja ya malengo ya Freemasons ni kujumuisha dini zote zinazoamini katika mungu chini ya society moja, ndiyo maana swali lao la msingi ni kama unaamini mungu. Ukishaamini mungu tu, wanaweza kufanya kazi na wewe kwa kulingana na mazingira. Usipoamini mungu hawana hata pa kuanzia, unakuwa disqualifued by axiomatic principles.

Tunaona hii habari ya kwamba Freemasons wanaamini katika Lucifer ni myth ambayo inatokana na kukosa habari basic kuhusiana na Freemasons. Freemasons ni secret society lakini kuna mambo ya msingi kuhusu Freemasoms yanajulikana.

I suggest you pick up a copy of John J Robinsons "Born in Blood : The Lost Secrets of Freemasonry" which I immensely enjoyed.

Additionaly, you may want to check out the section that deal with Harry Truman's initiation into Freemasonry in David McCullough's Pulitzer winning Magnum Opus biography "Truman", one of the best biographies of a United States president, which I also enjoyed immensely.

Tatizo watu hatusomi hata the basics, lakini tunarukia kuandika.

Kwa kila neno moja unaloandika, hakikisha umesoma maneno mia moja kutoka kwenye sources za kuaminika.

Cc EMT

eeeeeeh,vizuri mkuu ingawaje umezunguka sana,ok tuachane na hilo,swali lingine mkuu,unaamini kuwa uchawi upo mkuu??
 
Huwezi kusema tuachane na swali ambalo wewe hujaachana nalo na umesema nimezunguka.

Ukisema nimezunguka bila ya kuonesha nimezunguka wapi, wewe ndiye utakuwa unazunguka kuelezea niipozunguka.

Kifupi sikubali katika kuwapo kwa supernatural forces, nakubali kwamba vitu vinaoekana kuwa supernatural (mungu, uchawi, vibwengo, malaika, shetani, vinyamkela, mapepo na kadhalika) vinaonekana hivyo kutokana na sisi wengine kukosa elimu ya kuvielewa vizuri.
 
Elimu ya kuvielewa hivyo vitu usivyoviamini zipo nyingi tu Mkuu sema hutaki kujihangaisha kusoma kutokana na wewe kung'ang'ania kile unachokiamini,Elimu ya mungu ipo kutoka kwa Quran na Biblia,na kwa mfano Quaran kuna baadhi ya aya za kudhuru mfano 'Albadil' ukisomewa unadhurika kweli kama ulitenda kosa unalotuhumiwa nalo, na ushahidi wa hivyo vitu ninao wazi kabisa,ukija kwa upande wa uchawi,pia elimu zake zipo japo sio formal,ila watu wanajifunza na wanakuwa wachawi kweli kabisa. Sasa kama mtenda kosa akisomewa albadili ambayo inaomba ridhaa ya Mungu kumuadabisha mtendaji wa kosa kwa nini huamini uwepo wa Mwenyezi Mungu,wewe unatakaje kwani Mkuu???
 
Good thing you mentioned Sabodo as an exception.

Nilikuwa nataka kumtaja kama exception.

Kuna watu huwa wanatoa michango kwa pande mbili zote zinazohasimiana kwenye chaguzi kwa matumaini kwamba yeyote akishinda wanakuwa wao wameshinda. Hivyo tusishangae kusikia kwamba Sabodo ni muwakilishi wa jumuiya ya wahindi, anatumiwa kiasi kwamba siku moja upinzani ukipata kuchukua madaraka wahindi wawe na pa kupenyea wakisema "sisi tulikuwa na Sabodo lakini hatukutaka kujulikana kwa kuogopa CCM".

It's just conjecture, but not totally implausible.

Behind Sabodo......what I think there is a huge list that Sabodo will be the one to testify, just think of Monduli man..... he says the money are coming from his friends (yeye hana pesa) But who are his friends?
 
Elimu ya kuvielewa hivyo vitu usivyoviamini zipo nyingi tu Mkuu sema hutaki kujihangaisha kusoma kutokana na wewe kung'ang'ania kile unachokiamini,Elimu ya mungu ipo kutoka kwa Quran na Biblia,na kwa mfano Quaran kuna baadhi ya aya za kudhuru mfano 'Albadil' ukisomewa unadhurika kweli kama ulitenda kosa unalotuhumiwa nalo, na ushahidi wa hivyo vitu ninao wazi kabisa,ukija kwa upande wa uchawi,pia elimu zake zipo japo sio formal,ila watu wanajifunza na wanakuwa wachawi kweli kabisa. Sasa kama mtenda kosa akisomewa albadili ambayo inaomba ridhaa ya Mungu kumuadabisha mtendaji wa kosa kwa nini huamini uwepo wa Mwenyezi Mungu,wewe unatakaje kwani Mkuu???

Quran na Biblia hazina credibility kwani ziko self contradictory. Hazina logical consistency.
 
Je zipo ngapi?
Je zimesajiliwa?
Je zina dhamira gani?
Je zina faida gani kwa Mtanzania?
Je kuna haja ya kuendelea Kuwa nazo?

Kwa Tanzania ipo moja tu tena ni USALAMA WA TAIFA ~ CIA, dhamira ni kuwatesa watetezi wa wanyonge kama kina Dr Ulimboka...:!
 
Je zipo ngapi?
Je zimesajiliwa?
Je zina dhamira gani?
Je zina faida gani kwa Mtanzania?
Je kuna haja ya kuendelea Kuwa nazo?

ingia youtube type secrets societies utakutana nazo nyingi...Iluminata na Freemason
 
Watu wengi wanachanganya Atheists na Freemasons.

Wanafikiri Atheists ni Freemasons. Au Atheists wana uwezekano mkubwa wa kuwa Freemasons.

Wrong.

Huwezi kuwa Freemason kama huamini katika mungu. Kuamini katika mungu ni sharti la msingi kabida katika kuwa Freemasons. Ukisoma hostoria ya Freemasons utaona imeanzishea na Templar Knights, Christian monks. Sasa itskuwaje mimi Atheist niwe Freemason?

Kusema Atheist ni Freemason ni contradiction kama kusema Atheist ni mkristo au muislamu.

Wakristo na Waislamu wapo karinu na Freemasons kuliko sidi Atheists. Kwa sababu angalau wanatimiza kanuni moja ya msingi ya kuwa Freemason. Ile ya kuamini kwamba mungu yupo.

Natumaini umejifunza kitu kuhusiana na Freemasons leo.

Kifupi Freemasons hawamkubali mtu yeyote asiyeamini kuwepo kwa mungu katika jamii yao. Hivyo, mimi nisiyeamini kuwapo kwa mungu, siwezi kuwa Freemason.

Okey nimekusoma.mkuu!
 
Kuna aina fulani ya kutaka habari kwa kumsingizia kitu mtu na kumsikilizia atakavyojibu ili upate data.

Bahati nzuri leo nimeamkia upande wa Dhammapada na sijaamkia upande wa "The Lucifer Principle".

Unaweza kutofautisha hizi dhana mbili ulizozitaja?

Lakini kusema Mungu, mlungu yote ni mzungu...Uongo mkubwa

Mungu aliabudiwa kabla ya kuja wageni Africa, ndio maana hakuna kabila lililotohoa neno "God" kwenye lugha yao maana walikuwa nalo tayari mf. Mwami, Kyala n.k
 
Kuhusu dhana mbili, Google is your friend.

Kuhusu kukataa kwako kwamba Mungu, mulungu na mzungu kuwa kilekile, etymology inakushtaki.

Kwmba Waafrika waliabudu mungu kabla ya kuja mzungu hakumaanishi kwamba walichokiabudu hawakuweza kukiambatanisha na ujio wa wazungu na kuanguka kwa principle ya Arthur C. Clarke ya "any sufficiently advanced technology is indistinguishabke from magic" na kuwaona wazungu miungu, ndiyo maana wakapewa jina hilo la "mzungu", ambalo etymologicaly lina msingi mmoja na mungu.
 
Atheist na freemason ni pande mbili za shilingi moja, wakati lengo la mason ni kumwabudu shetani moja kwa moja, Atheist wanakana uwepo wa Mungu na kutukuza nguvu flani za asili mara waseme "power of mind" kama pasco na hadithi zake, lakini hizo ni ibada za kale za SANAMU.

Kiranga angekuwa mkweli angekili kuwa haishii tu kutokumwamini Mungu, la, bali "nguvu za asili" anazoziamini mf. Kunuia mambo flani na yakatokea, kufanya mazoezi ya kuangalia picha au mchoro flani kwa muda mrefi ili kuongeza "power" kama wahindu, budha na imani za china na Japan.

Hizo zote ni ibada za sanamu, na hizo nguvu za "asili" au power inayotafutwa na kutumiwa, ni nguvu za giza (shetani)
 
Soma jibu langu la kukana kulinganisha Atheism na Freemasonry post namba 8.

Wanaoamini kuwapo kwa mungu wapo karibu na Freemasons kuliko wasioamini.

Habari zako kuhusu Freemasons unazipata wapi na zinaaminika kwa kiasi gani?

Maana usije kuwa unaandika kuhusu Freemasons kwa kusoma magazeti ya Shigongo huku hujui chochote kuhusu Freemasons ni jamii gani.
 
Soma jibu langu la kukana kulinganisha Aheism na Freemasonry post namba 8.

Wanaoamini kuwapo kwa mungu wapo karibu na Freemasons kuliko wasioamini.

Habari zako kuhusu Freemasons unazipata wapi na zinaaminika kwa kiasi gani?

Maana usije kuwa unaandika kuhusu Freemasons kwa kusoma magazeti ya Shigongo huku hujui chochote kuhusu Freemasons ni jamii gani.

Unataka niwasome wapi Freemason, siku hizi mitaani wanagawa vipeperushi vyao vya kutoa "misaada", wanatoa na namba za simu, ukifuatilia namba hizi zimesajiliwa kwa majina ya ; Freemason_shetani au mungu_shetani, nitafute ushahidi gani?
 
Nilichosema hapa ni kwamba, ili kuwa Freemason, inabidi uamini katika mungu wa aina fulani.

Kama mungu huyo ni Allah, Jehovah, Lucifer etc, hilo ni swali la upili, si swali la msingi.

Swali la msingi ni kwamba unaamini mungu?

Mimi kama Atheist siamini mungu yeyote. Allah, Jehovah, Lucifer etc.

Kwa hiyo, nashindwa kukidhi mahitaji ya swali la msingi kabisa la kuwa Fremason. Kitu ambacho kwa Mkristo au Muislamu si kweli. Wakeisto na Waislamu hawashindwi kukidhi mahitaji ya msingi kabisa ya kuwa Freemason. Hata kama Freemasonry ni kumuabudu shetani -something I dispute below-, kumshawishi mtu anayeamini katika kuwapo kwa mungu na shetani aache kumuabudu mungu na amuabudu shetani ni rahisi kuliko kumshawishi mtu ambaye hakubaki kuwapo kwa mungu wala shetani.

Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.

Mimi nikituma application ya kuwa Freemason nakuwa disqualified kwenye swali la kwanza tu, unaamini katika kuwepo kwa mungu? Nikijibu siamini, naambiwa out, hatukutaki.

Wakristo na Waislamu wanapasi hili swali. Kama kuna disqualification katika mungu gani itakuja baadaye. And the notion kwamba Wanaoamini mungu wa Wakristo na Waislamu hawawezi kuwa Freemasons inatokana na kutokuwa na elimu ya msingi kuhusu Freemasonry tu. Moja ya malengo ya Freemasons ni kujumuisha dini zote zinazoamini katika mungu chini ya society moja, ndiyo maana swali lao la msingi ni kama unaamini mungu. Ukishaamini mungu tu, wanaweza kufanya kazi na wewe kwa kulingana na mazingira. Usipoamini mungu hawana hata pa kuanzia, unakuwa disqualifued by axiomatic principles.

Tunaona hii habari ya kwamba Freemasons wanaamini katika Lucifer ni myth ambayo inatokana na kukosa habari basic kuhusiana na Freemasons. Freemasons ni secret society lakini kuna mambo ya msingi kuhusu Freemasoms yanajulikana.

I suggest you pick up a copy of John J Robinsons "Born in Blood : The Lost Secrets of Freemasonry" which I immensely enjoyed.

Additionaly, you may want to check out the section that deal with Harry Truman's initiation into Freemasonry in David McCullough's Pulitzer winning Magnum Opus biography "Truman", one of the best biographies of a United States president, which I also enjoyed immensely.

Tatizo watu hatusomi hata the basics, lakini tunarukia kuandika.

Kwa kila neno moja unaloandika, hakikisha umesoma maneno mia moja kutoka kwenye sources za kuaminika.

Cc EMT

Hapo hapo Kiranga unapema ukiwa Atheist huwezi kuwa Freemason sasa kwanini mmiliki wa Facebook ni Freemason na ni Atheist?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,hivii,Mungu wa freemasons ndiye Mungu wa christians na muslims,i.e Lucifa ndiye ALLAH na GOD???,kama sio basi common bond kupitia miungu yao haifanani hivyo basi,hawaamini mungu mmoja

Karibu katika ulimwengu huru ndugu...
 
Back
Top Bottom