Secret Societies in Tanzania

Secret Societies in Tanzania

Atheists wanaamini ni nini chanzo cha uovu na wema duniani? Kiranga

Kwanza kabisa Atheism si dini, na haina msahafu useme Atheism wanaamini hiki.

Lakini naweza kusema kwa kufuata kanuni za critical thinking, empiricism na secular humanism.

Chanzo cha uovu na wema kivipi?

Kwa context ya matendo ya binadamu, chanzo ni binadamu.

Chanzo cha mtu mmoja kumuua mwingine ni uovu na ujinga wa binadamu. Vivyo hivyo, mbadala mkabala utatumika kwa mazuri.

Huhitaji mungu au shetani kuwa muovu au mwema. Wewe mwenyewe kama mtu unaweza kuwa muovu au mwema kivyakovyako.

Kwa nini umuhitaji mungu au shetani kiwa mwema au muovu?
 
Ngoja nitaangalia kuona TUKI wanasemaje.

Ila source yangu ( and in the interest of full disclosure, my dad) imeandika na kufanya tafiti extensively juu ya ujio wa wazungu na jinsi walivyoathiri uchumi na jamii nzima kwa ujumla wake. Kwa hiyo mtu anaweza kusema niko biased kiaina lakini pia yeye mwenyewe alikuwa ni authority flani katika hayo mambo.

Ona jinsi Wiki wanavyoelezea neno 'Mzungu'.

Ila pia maelezo yako nayo nayakubali kwa kiasi fulani kwani yapo kwa kifupi kwenye Kamusi Elezo Huru, Wikipedia ya Kiswahili.

Pia cheki hapa.

Hahahaha,

Mimi nishatanguliza salamu kwa kuandika "reputable academician".

Some of these things need to be pinned down by a more pointed and resourced research than I could muster.

I have read "Kennedy: Leader of Our Time" the original Ted Sorensen biography of JFK as well as "The Autobiography of Malcolm X" by Alex Haley, both reputable sources, if a bit on the hagiography end of the impartiality spectrum. Both were compelling. Only to be vastly improved upon by the subsequent Sorensen biography "Counsellor: A Life At The Edge of History" and Manning Marable's "Malcolm X : A Life of Reinvention".

This is almost always the justification -sometime mere excuse- to write new biographies/ books on old subjects that have been hacked to death, such as Kennedy and Malcolm X.

I am currently reading Turing after watching the movie and finding out it left a lot and took too much liberties with the story, with another eye on Andrew Roberts "Napoleon : A Life". I expect the new Napoleon bio to have a similar justification, being on a subject that has been written and overly written. I can positively anticipate this in the preface even before reading the preface.

The point being, reputable sources could be improved upon. More research -at least from our limited perspective- is needed to settle some of these questions.

I am a big fan of etymology as it gives a deep perspective on the root of societal reasoning and shaping of a common narrative. This could be a window to a bygone era, an opportunity to capture the past without using a camera or fingerprint forensics.
 
Hahahaha,

Mimi nishatanguliza salamu kwa kuandika "reputable academician".

Kumbe machale yalikucheza tokea awali.....

And it's true that there is always room for improvement in just about everything.

Tatizo letu kubwa kama jamii hatuna waandishi wengi wa vitabu.

Pengine huo uhaba ndo fursa yetu sie wengine kuliendeleza libeneke (na kuboresha) pale ambapo waliotutangulia wametuachia.
 
Kumbe machale yalikucheza tokea awali.....

And it's true that there is always room for improvement in just about everything.

Tatizo letu kubwa kama jamii hatuna waandishi wengi wa vitabu.

Pengine huo uhaba ndo fursa yetu sie wengine kuliendeleza libeneke pale ambapo waliotutangulia wametuachia.

Tatizo ni hii self imposed exile tu na u raggamuffin. My friends tell me I should have been a research don at some bongo tower.

Lakini nilivyoangalia uncles walivyokuwa frustrated na academia ya bongo nikaona that's hardly for me.

Nilikuwa namsikiliza mshua akipiga stories na Prof. Kamera kuhusu academia politricks nikavunjwa moyo tangu mdogo.

If at all I am not just flattering myself.
 
Tumieni lugha ya kiswahili mtakuwa mmeeleweka zaidi na kusaidia wengi
 
Tatizo ni hii self imposed exile tu na u raggamuffun. My friends tell me I should have been a research don at some bongo tower.

Lakini nilivyoangalia uncles walivyojuwa frustrated na academia ya bongo nikaona that's hardly for me.

Nilikuwa namsikiliza mshua akipiga stories na Prof. Kamera kuhusu academia politricks nikavunjwa moyo tangu mdogo.

If at all I am not just flattering myself.

Oh yeah, zamani kulikuwa na politricks nyingi tu hususan ukizingatia chuo cha elimu ya juu pretty much kilikuwa kimoja tu.

Nimeshasikia stori za dons hapo Mlimani kuhusu baadhi yao kupewa 'uprof' pasipo kustahili na kadhalika.

Halafu pia, kwa enzi hizo malipo yao yalikuwa si mazuri kivile.

Wale waliokuwa wanalipwa vizuri ni wale ambao walikuwa na connections overseas...mambo ya sabbatical leaves, scholar-in-residence opportunities, symposium presentations, etc.

Imagine mtu anapata sabbatical leave anaenda UCLA au Oxford halafu analipwa mshahara kama tenured professor wa hapo.

Au mtu anapata zali la Fulbright Scholar-in-Residence program kwa miezi minne au mitano halafu analipwa mshahara mzuri tu kwa viwango vya huko.

Kuna wazee walianza hayo mambo ya networking zamani sana na kila mwaka lazima walikuwa wanaenda nje ya nchi kwenye shughuli kama hizo na hivyo ndivyo walivyokuwa wanatengeneza pesa zao.

La sivyo wangesugua soli za viatu hapo UDSM na vimishahara vya kijamaa! Ila siku hizi malipo ya wakufunzi yameboreshwa kwa kiasi fulani (kwa viwango vyetu vya kibongo).
 
Tumieni lugha ya kiswahili mtakuwa mmeeleweka zaidi na kusaidia wengi

Inawezekana wengi ndio wanatakiwa kuona changamoto ya kujua kiingereza zaidi. Do not dumb down the lowest common denominator.

Kwa wengine pia, kueleweka kwa wengi si lengo kuu kama kueleweka na wanaotakiwa na waliofikisha masharti ya kuelewa.

Naweza kuanza kuelezea kwa Kiswahili Hegelian dialectics ukaanza kunilaumu natumia Kiswahili kigumu kinachohusisha mibadala mikabala na nadhama ziso ughulama kwa jibli muhtahima isopenda sahala ya rai iso utribu wala korija za karima bila utovu wa adili wala ukithiri wa fadhili.

Patazuriwa na mja gani hapa kama uzuzu utaendekezwa?
 
Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.

Nafirikiri watu wengi wana-confuse dini za Kikristo na Kiislamu (ambazo ndiyo maarufu Tanzania) kupiga marufuku au kutopendelea waumini wake kuwa member wa Freemason.

The fact kuwa dini hizo zinapiga marufuku au hazipendelei waumini wake kuwa member was Freemason haina maana kuwa Freemasons hawaamini katika mungu au miungu.
 
mimi nazijua 3;
Bhasisimikisi.
Ngemela.
Mwasapile.
 
Inawezekana wengi ndio wanatakiwa kuona changamoto ya kujua kiingereza zaidi. Do not dumb down the lowest common denominator.

Kwa wengine pia, kueleweka kwa wengi si lengo kuu kama kueleweka na wanaotakiwa na waliofikisha masharti ya kuelewa.

Naweza kuanza kuelezea kwa Kiswahili Hegelian dialectics ukaanza kunilaumu natumia Kiswahili kigumu kinachohusisha mibadala mikabala na nadhama ziso ughulama kwa jibli muhtahima isopenda sahala ya rai iso utribu wala korija za karima bila utovu wa adili wala ukithiri wa fadhili.

Patazuriwa na mja gani hapa kama uzuzu utaendekezwa?

Hiki ni kiswahili?? Bora Kiingereza!!
 
Good thing you mentioned Sabodo as an exception.

Nilikuwa nataka kumtaja kama exception.

Kuna watu huwa wanatoa michango kwa pande mbili zote zinazohasimiana kwenye chaguzi kwa matumaini kwamba yeyote akishinda wanakuwa wao wameshinda. Hivyo tusishangae kusikia kwamba Sabodo ni muwakilishi wa jumuiya ya wahindi, anatumiwa kiasi kwamba siku moja upinzani ukipata kuchukua madaraka wahindi wawe na pa kupenyea wakisema "sisi tulikuwa na Sabodo lakini hatukutaka kujulikana kwa kuogopa CCM".

It's just conjecture, but not totally implausible.
Hivyo sasa atatafutwa Sabodo mwingine maana
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
 
siku nitakayomuona muhindi yeyote anayesupport upinzani dhahiri shairi ndio nitajua hawa ni Watanzania wenzetu (Sabodo atolewe hapo)
Sabodo ni Mtanzania mwenzetu, leo ametangulia mbele ya haki!

Back
Top Bottom