Secret Societies in Tanzania

Secret Societies in Tanzania

Unataka niwasome wapi Freemason, siku hizi mitaani wanagawa vipeperushi vyao vya kutoa "misaada", wanatoa na namba za simu, ukifuatilia namba hizi zimesajiliwa kwa majina ya ; Freemason_shetani au mungu_shetani, nitafute ushahidi gani?
Nyie ndiyo huwa mnatapeliwa kirahisi tu kwa kuwa mnakosa maarifa, wewe kuona laini ya simu imesajiliwa kwa jina shetani au freemason kwako ni ushahidi tosha?

Mbona kusajili laini ya simu kwa jina feki ni rahisi tu!!
 
ndiyo maana wakapewa jina hilo la "mzungu", ambalo etymologicaly lina msingi mmoja na mungu.

Kuhusu hilo la wazungu kuitwa hivyo, mimi nimewahi kusikia maelezo tofauti kabisa tena kutoka kwa chanzo ninachokiamini, kwamba, hilo jina lilitokana na tabia yao ya kuzunguka zunguka (kumbuka explorers) huku na kule na hivyo kupachikwa jina la 'mzungukaji'/ wazungukaji ambalo kwa ufupisho ndo tukapata 'mzungu/ wazungu'.

Hiyo ya wao kuitwa hivyo kwa sababu ya kuwaona wao ni "miungu" nimeijulia hapa na nadhani ni sadfa tu ikatokea kwamba tofauti iliyopo kati ya hayo maneno mawili (ya mzungu na mungu) ni ya tahajia moja (ya 'z').
 
Nilichosema hapa ni kwamba, ili kuwa Freemason, inabidi uamini katika mungu wa aina fulani.

Kama mungu huyo ni Allah, Jehovah, Lucifer etc, hilo ni swali la upili, si swali la msingi.

Swali la msingi ni kwamba unaamini mungu?

Mimi kama Atheist siamini mungu yeyote. Allah, Jehovah, Lucifer etc.

Kwa hiyo, nashindwa kukidhi mahitaji ya swali la msingi kabisa la kuwa Fremason. Kitu ambacho kwa Mkristo au Muislamu si kweli. Wakeisto na Waislamu hawashindwi kukidhi mahitaji ya msingi kabisa ya kuwa Freemason. Hata kama Freemasonry ni kumuabudu shetani -something I dispute below-, kumshawishi mtu anayeamini katika kuwapo kwa mungu na shetani aache kumuabudu mungu na amuabudu shetani ni rahisi kuliko kumshawishi mtu ambaye hakubaki kuwapo kwa mungu wala shetani.

Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.

Mimi nikituma application ya kuwa Freemason nakuwa disqualified kwenye swali la kwanza tu, unaamini katika kuwepo kwa mungu? Nikijibu siamini, naambiwa out, hatukutaki.

Wakristo na Waislamu wanapasi hili swali. Kama kuna disqualification katika mungu gani itakuja baadaye. And the notion kwamba Wanaoamini mungu wa Wakristo na Waislamu hawawezi kuwa Freemasons inatokana na kutokuwa na elimu ya msingi kuhusu Freemasonry tu. Moja ya malengo ya Freemasons ni kujumuisha dini zote zinazoamini katika mungu chini ya society moja, ndiyo maana swali lao la msingi ni kama unaamini mungu. Ukishaamini mungu tu, wanaweza kufanya kazi na wewe kwa kulingana na mazingira. Usipoamini mungu hawana hata pa kuanzia, unakuwa disqualifued by axiomatic principles.

Tunaona hii habari ya kwamba Freemasons wanaamini katika Lucifer ni myth ambayo inatokana na kukosa habari basic kuhusiana na Freemasons. Freemasons ni secret society lakini kuna mambo ya msingi kuhusu Freemasoms yanajulikana.

I suggest you pick up a copy of John J Robinsons "Born in Blood : The Lost Secrets of Freemasonry" which I immensely enjoyed.

Additionaly, you may want to check out the section that deal with Harry Truman's initiation into Freemasonry in David McCullough's Pulitzer winning Magnum Opus biography "Truman", one of the best biographies of a United States president, which I also enjoyed immensely.

Tatizo watu hatusomi hata the basics, lakini tunarukia kuandika.

Kwa kila neno moja unaloandika, hakikisha umesoma maneno mia moja kutoka kwenye sources za kuaminika.

Cc EMT

kwa maelezo yako ww utakuwa member wa hizo secret society...unatetea ulucifeli
harafu huamini ktk Mungu.....nan aliekuumba ww?
 
Last edited by a moderator:
Unataka niwasome wapi Freemason, siku hizi mitaani wanagawa vipeperushi vyao vya kutoa "misaada", wanatoa na namba za simu, ukifuatilia namba hizi zimesajiliwa kwa majina ya ; Freemason_shetani au mungu_shetani, nitafute ushahidi gani?

And herein lies the problem.

Hata pa kupata habari za Freemasons hujui, halafu unajifanya mtaalamu wa kuelezea Freemasonry.
 
Hapo hapo Kiranga unapema ukiwa Atheist huwezi kuwa Freemason sasa kwanini mmiliki wa Facebook ni Freemason na ni Atheist?

Huwezi kuwa Freemason kama huamini katika kuwepo kwa mungu.

Sharti la msingi kabisa la kuwa Freemason no kuamini kiwapo kwa mungu.

Huyo mmiliki wa Facebook hawezi kiwa Atheist na Freemason kwa wakati mmoja.

That's an inherent contradiction like "a married bachelor".
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu hilo la wazungu kuitwa hivyo, mimi nimewahi kusikia maelezo tofauti kabisa tena kutoka kwa chanzo ninachokiamini, kwamba, hilo jina lilitokana na tabia yao ya kuzunguka zunguka (kumbuka explorers) huku na kule na hivyo kupachikwa jina la 'mzungukaji'/ wazungukaji ambalo kwa ufupisho ndo tukapata 'mzungu/ wazungu'.

Hiyo ya wao kuitwa hivyo kwa sababu ya kuwaona wao ni "miungu" nimeijulia hapa na nadhani ni sadfa tu ikatokea kwamba tofauti iliyopo kati ya hayo maneno mawili (ya mzungu na mungu) ni ya tahajia moja (ya 'z').

Hiyo ya kuzunguka naisikia leo.

Traditiona nyingi -sio za Afrika tu- zilikuwa na mapokeo ya kusema kwamba watakuja some sorts of gods ambao wako tofauti kuwasaidia. If you read about Pizzaro and the fall of the Inca you will see a parallel of this. Basically a band of a few Spaniards conquered the Incas easily hugely because the Incas prophesized the coming of the gods, which they interpreted to be Europeans. Jared Diamond's Pulitzer Magnum Opus "Guns, Germs and Steel" has a good narration on this.

Put a Ling Solomons Mines moment here and there, where the white man is able to predict an eclipse, given the religious importance of eclipse before the coming of Europeans, and I can totally understand why some would see the whites as gods, even as aome Kimweris saw them as cannobal coming to look for tasty meat.

Kuna lugha za makabila fulani mpaka leo neno mzungu au mizungu linamaanisha mungu /miungu na watu wanaomba kwa mizungu.

Hilo la zinguka I don't know, but I wouldn't put it past a convenient whitewashing of history. After all kukubali kwamba tuliwaona wazungu kama miungu is a painfull pill to swallow. Given the nationalist spirit after insependence, I wouldn't put even certain reputable academicians beyond succumbing to the pressure of concocting a more dignified explanation.
 
kwa maelezo yako ww utakuwa member wa hizo secret society...unatetea ulucifeli
harafu huamini ktk Mungu.....nan aliekuumba ww?

Kajifynze tofauti ya "harafu" na "halafu" kabla ya kuanza kubiahana na mimi.

I don't engage country bumpkins as a general principle.
 
Hiyo ya kuzunguka naisikia leo.

Traditiona nyingi -sio za Afrika tu- zilikuwa na mapokeo ya kusema kwamba watakuja some sorts of gods ambao wako tofauti kuwasaidia. If you read about Pizzaro and the fall of the Inca you will see a parallel of this. Basically a band of a few Spaniards conquered the Incas easily hugely because the Incas prophesized the coming of the gods, which they interpreted to be Europeans. Jared Diamond's Pulitzer Magnum Opus "Guns, Germs and Steel" has a good narration on this.

Put a Ling Solomons Mines moment here and there, where the white man is able to predict an eclipse, given the religious importance of eclipse before the coming of Europeans, and I can totally understand why some would see the whites as gods, even as aome Kimweris saw them as cannobal coming to look for tasty meat.

Kuna lugha za makabila fulani mpaka leo neno mzungu au mizungu linamaanisha mungu /miungu na watu wanaomba kwa mizungu.

Hilo la zinguka I don't know, but I wouldn't put it past a convenient whitewashing of history. After all kukubali kwamba tuliwaona wazungu kama miungu is a painfull pill to swallow. Given the nationalist spirit after insependence, I wouldn't put even certain reputable academicians beyond succumbing to the pressure of concocting a more dignified explanation.

Tatizo ni kwamba hakuna uhakika mkubwa wa chanzo cha hilo neno thus creating room for more than one explanation as to its origins.

Mimi binafsi naamini chanzo ni hiyo iliyokuwa tabia yao ya kuzunguka zunguka sehemu mbalimbali na naona maelezo hayo kuwa na mantiki zaidi.

Mzungukaji/ mzungu

Wazungukaji/ wazungu
 
Nilichosema hapa ni kwamba, ili kuwa Freemason, inabidi uamini katika mungu wa aina fulani.

Kama mungu huyo ni Allah, Jehovah, Lucifer etc, hilo ni swali la upili, si swali la msingi.

Swali la msingi ni kwamba unaamini mungu?

Mimi kama Atheist siamini mungu yeyote. Allah, Jehovah, Lucifer etc.

Kwa hiyo, nashindwa kukidhi mahitaji ya swali la msingi kabisa la kuwa Fremason. Kitu ambacho kwa Mkristo au Muislamu si kweli. Wakeisto na Waislamu hawashindwi kukidhi mahitaji ya msingi kabisa ya kuwa Freemason. Hata kama Freemasonry ni kumuabudu shetani -something I dispute below-, kumshawishi mtu anayeamini katika kuwapo kwa mungu na shetani aache kumuabudu mungu na amuabudu shetani ni rahisi kuliko kumshawishi mtu ambaye hakubaki kuwapo kwa mungu wala shetani.

Wakristo na Waislam wanaoamini katika mungu wako karibu na Freemasons kuliko mimi ambaye siamini katika mungu yeyote.

Mimi nikituma application ya kuwa Freemason nakuwa disqualified kwenye swali la kwanza tu, unaamini katika kuwepo kwa mungu? Nikijibu siamini, naambiwa out, hatukutaki.

Wakristo na Waislamu wanapasi hili swali. Kama kuna disqualification katika mungu gani itakuja baadaye. And the notion kwamba Wanaoamini mungu wa Wakristo na Waislamu hawawezi kuwa Freemasons inatokana na kutokuwa na elimu ya msingi kuhusu Freemasonry tu. Moja ya malengo ya Freemasons ni kujumuisha dini zote zinazoamini katika mungu chini ya society moja, ndiyo maana swali lao la msingi ni kama unaamini mungu. Ukishaamini mungu tu, wanaweza kufanya kazi na wewe kwa kulingana na mazingira. Usipoamini mungu hawana hata pa kuanzia, unakuwa disqualifued by axiomatic principles.

Tunaona hii habari ya kwamba Freemasons wanaamini katika Lucifer ni myth ambayo inatokana na kukosa habari basic kuhusiana na Freemasons. Freemasons ni secret society lakini kuna mambo ya msingi kuhusu Freemasoms yanajulikana.

I suggest you pick up a copy of John J Robinsons "Born in Blood : The Lost Secrets of Freemasonry" which I immensely enjoyed.

Additionaly, you may want to check out the section that deal with Harry Truman's initiation into Freemasonry in David McCullough's Pulitzer winning Magnum Opus biography "Truman", one of the best biographies of a United States president, which I also enjoyed immensely.

Tatizo watu hatusomi hata the basics, lakini tunarukia kuandika.

Kwa kila neno moja unaloandika, hakikisha umesoma maneno mia moja kutoka kwenye sources za kuaminika.

Cc EMT

Nakubaliana nawe mwishoni bro Kiranga.Watu hatusomi.
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuwa Freemason kama huamini katika kuwepo kwa mungu.

Sharti la msingi kabisa la kuwa Freemason no kuamini kiwapo kwa mungu.

Huyo mmiliki wa Facebook hawezi kiwa Atheist na Freemason kwa wakati mmoja.

That's an inherent contradiction like "a married bachelor".

Mkuu Kiranga mie nataka unieleweshe hasa lengo la hizi secret society ni nini, tuanzie hapo kwa masons kama hutojali.
 
Last edited by a moderator:
Atheists wanaamini ni nini chanzo cha uovu na wema duniani? Kiranga
 
Tatizo ni kwamba hakuna uhakika mkubwa wa chanzo cha hilo neno thus creating room for more than one explanation as to its origins.

Mimi binafsi naamini chanzo ni hiyo iliyokuwa tabia yao ya kuzunguka zunguka sehemu mbalimbali na naona maelezo hayo kuwa na mantiki zaidi.

Mzungukaji/ mzungu

Wazungukaji/ wazungu

TUKI wanasemaje? Although I wouldn't put them past a sanitized and politically correct definition either.
 
Mkuu Kiranga mie nataka unieleweshe hasa lengo la hizi secret society ni nini, tuanzie hapo kwa masons kama hutojali.

Lengo ni political na economic domination.

Kama lengo la dini. Hakuna tofauti kimsingi.

Tofauti Freemasons wako highly selective, secretive na wanakubali watu ambao wataweza kufanikisha malengo yao kutoka dini tofauti. Ni kama wanataka kutengeneza dini ya kuunganisha dini zote. Sasa katika vitabu fulani, biblia ikiwamo, wametabiriwa kuja manabii wa uongo watakaotaka kuunganisha dini zote, na dini hii itabadili wa kumuabudu itamuabudu shetani na pesa. Kutoka hapo ndipo unapoona kwa nini mtu akifuata a narrow interpretation anaweza kuona Freemasons wanaabudu shetani.

Ukiongezea na matatizo yetu ya kijamii ya watu kutotaka kusoma na kueneza maneno yasiyothibitishwa basi moto wa uzushi wowote unaenea kirahisi tu wakati habari za msingi -nzuri au mbaya- zinaachwa.

Make no mistake, the Freemasons are a powerful manipulative cabal. Mkapa alivyokuwa rais, Kitwana Kondo alitaka kumpa zawadi. Mkapa akamwambia kama unataka kunipongeza nunua ad space kwenye gazeti utume pongezi kila mtu aone -being a newspaper man and supposedly "Mr. Clean" this was appropriate-. Wiki iliyofuatia akaja Andy Chande pale Sea View lwa Mkapa, kaja na zawadi ya Range Rover Vogue kumpa Mkapa pongezi. Nikawa namuangalia Ben kama atamjambisha Andy Chande, the godfather of Freeemasons in East Africa, aende kuitoa hiyo Vogue msaada kwa wanaohitaji. Mkapa aliichukua ile Vogue na mpaka anaenda Lushoto ilikuwa inapaki kwake Sea View pale.

Just an anecdote to show how powerful these people are.

But there is such a thing as overblowing the "devil worshippers" angle as far as I can tell.
 
Last edited by a moderator:
TUKI wanasemaje? Although I wouldn't put them past a sanitized and politically correct definition either.

Ngoja nitaangalia kuona TUKI wanasemaje.

Ila source yangu ( and in the interest of full disclosure, my dad) imeandika na kufanya tafiti extensively juu ya ujio wa wazungu na jinsi walivyoathiri uchumi na jamii nzima kwa ujumla wake. Kwa hiyo mtu anaweza kusema niko biased kiaina lakini pia yeye mwenyewe alikuwa ni authority flani katika hayo mambo.

Ona jinsi Wiki wanavyoelezea neno 'Mzungu'.

Mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in the African Great Lakes region to refer to people of European descent.

It is a commonly used expression among Bantu peoples in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda and Zambia.

The word "wachizungu" has a particular historical development in this region, dating back to the 18th century. "Wachizungu" used to mean "things of the aimless wanderers."

Literally translated it meant "someone who roams around aimlessly" or "aimless wanderer."[SUP][1][/SUP]
The term was first used in the African Great Lakes region to describe European explorers in the 18th century, apparently as a result of their propensity to get lost in their wanderings in Africa.

The word Muzungu comes from Kiswahili, where ‘zungu' is the word for spinning around on the same spot. That dizzy lost look was perfected by the first white people arriving in the African Great Lakes. Muzunguzungu is Kiswahili for a dizzy person.[SUP][2][/SUP] T

he term is now used to refer to "someone with white skin" or "white skin".

Ila pia maelezo yako nayo nayakubali kwa kiasi fulani kwani yapo kwa kifupi kwenye Kamusi Elezo Huru, Wikipedia ya Kiswahili.

Pia cheki hapa.
 
Back
Top Bottom