Secret lover huyu mmhh!!

ni mke wa mtu source yeye mwenyewe! nashangaa mke wa mtu unakubali romantic offers kama hizi jamani! mkunde real umenidissapoint ujue!

dont be disspointed I know where I stand, offers are nothing to me
 
Na zile swaga zako za kufanya mazoezi ya kukata tumbo ila wowowo ibaki,ndo alipo nasia hapo huyo kaka wa ofisini
 
Damn!! men we are full of tricks, lkn ofisi yenu nzuri nimeipenda munatongozana ki diplomasia nafkiri ni mmoja ya sera zenu hapo?
 
wala usimshangae Mkunde wa watu,

kwenye hili wanawake wengi hamna ujanja,

No matter you are ''single'' or ''double''...........lol

sijisifu kuwa mie ni mjanja ila sikamatiki haraka
 
Usikimbilie kum judge Smile. Being married does not mean you are no longer attractive. What matters is how you deal with these advances from the opposite sex.

Thanks my dear kwa kuelezea hivo, that is what matters most
 
anataka uwe dada ake........mie hapo nahisi kama anakupenda vile

anajua that your married.....but I know this can not stop him from loving you

I can not be his sister but I can be like his sister, anajua kuwa nimeolewa akinipenda anipende tuu kivyake mie hata sijadondokewa na roho ya kumpenda hata
 


Hivi hiyo office yenu haina watu wazima kidogo? na kama wapo na wenyewe lazima akija mgeni wanafanya hivyo? Mh hata wazungu hwako hivyo maofisini ni hapo kwenu tu.
 

It was a lunch and I did not see anything in my mind than wondering how am I resembling a person I do not know ....
 
Mungu na anisaidie ila sikuandika yote yaliyotokea kufupisha story the mkaka anaweza kuwa amenizimikia ila mie walaaah yuko tofauti na type nnazopendaga mimi
Ahaa kwahyo kama ingetokea huyo kaka bandia ni type unayopendaga wew basi angejilia mzgo bila tatzo...basi sawa huyo anaweza akawa hayupo type yako ila atatokea tu type yako!By the way naomba direction ya hyo office nam nilete barua ya maombi
Smile umeiona hii lakn?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…