Sabry001
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,064
- 355
Sijui kwa nini wazazi weng wa kutoka Kilimanjaro wanapenda kuita watoto wao hili jina Glory? Ukienda shuleni, maofisini basi 90 % ni toka kilimanjaro au akitokea eneo lingne basi moja ya mzazi au grand parents ni toka Kilimanjaro! Is there any secret behind ths name watu wa kilimanjaro? Nlikuwa nawaza tu!