Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
Samahani Hivi Iyo Nacte inahusiana na Watahiniwa wa sayansi tyu ...
Na Vipi Kuhusu wale wa biashara..??
j3 mambo yote yatakua ubaoniiiii
wiki inayoanza kexho ni lazma watoe 2
mkuu marandu! una uhakika gani? mana ata kwny afya nao wanazngua bt wengne 2meomba afy had leo hawasmek 2mekata tamaa 2natka kwenda advnc huk na wanazngua
wataztoa ndan ya wiki inayoanza kesho tarehe 07 coz haitofika mwez wa 10 bila kwenda shule. Mwaka jana walitolewa tarehe 30 mwez wa 8 then shule wakawasili tarehe 9/9 xo nlazma watoe na kwa upande wa afya inajulikana kuwa chuo ni kuanzia tarehe 05/10(private) na 16/10(gment) xo post watatoa kuanzia tarehe 25/09
yani wakuu hawa tamisemi bora watoe leo mana wengine tushakata tamaa