Hv kma mtu alikuwa na C3,katka masom yake yaan Bios - C, chemistry - C, b/maths - C. Haraf Physcs - D. Na haja chaguliwa second wala first SELECTION pia kutuma maombi afya nako haja chaguliwa jeeee? LABDA KUNA SELECTION ZNGNE ZNAKUJA AU NDO MAISHA YAKE FINISH... HELP ME PLEASE....
S1779/0010 M Costantine
Christopher
Adam Mrijo EGM
shule aendayo
Temeke Temeke Dar
Es
Salaam
baadsha unasema ni day wakati watu wengi sana waliopangwa wametokea mikoani kama hujui kitu bola usijibu
JAMAN NISAIDIE, NINA PASS YA 1.3, Chemistry _C, b/math_C, bios_C, Physcs _D . Lakin sijachaguliwa first wala second selection hat UDOM sijachaguliwa pia nimetuma maombi afya nako cjachaguliwa... Wana jf nisaidie Je Labda kuna selection zngne znakuja au watakuwa wamenichagua wapiiii...????? NISAIDIEN jamani
mimi bado na utata kwa hili hii shule ya temeke ni ya day au bording na kama ya day asilimia kubwa ya waliochaguliwa ni kutoka mikoani na kama kuna hostel je ni za shule i mean ulipii au unalipa kwa mwezi msaada wakuu
Weka mamba yako nikuaidie kuangalia
mimi bado na utata kwa hili hii shule ya temeke ni ya day au bording na kama ya day asilimia kubwa ya waliochaguliwa ni kutoka mikoani na kama kuna hostel je ni za shule i mean ulipii au unalipa kwa mwezi msaada wakuu
S3560/0003
mkuu mwenye hayo majina ya second selection nichekie hiyo hapo wakuu
msaada wakuu S1502/0021
Naomba nichekie s1454/0020
wakuu msaada plz S.3754/0030