Second Round Application TCU

Hv deadline mwisho lini ya hiyo second round.
 
Jamani wakuu nlimaliza form 6 mwaka jana and i had physics C,chemistry B,and bilogy C,mwaka jana nliomba kupitia tcu nkakosa nkafanya 2nd application nkapata bt badae application yangu ikafutwa na profile ilionesha kama ilivyokuwa mwanzo,nkavumilia niombe mwaka huu pia nimekosa imenbd niombe mara ya pili bt nimejaribu kuomba bachelor of nursing Kcmc pia imeshndkana kuwa cjameet minimum requirements. Naombeni ushauri kwa sabu nimejikuta namwaga machozi tu akili yangu haijakaa sawa.
 
jaribu kuomba kozi zilizobaki katika chuo unachokipenda ata iwe ya ovyo, lakini katika chuo unachokipenda ukifika uko unabadili kozi unaenda unayotaka kwenda ila muhimu uwe na cut off point kubwa kuliko aliyechaguliwa wa mwisho ktk iyo kozi unayotaka hamia.....ahsante.
 
Hakuna sehemu isiyo na changamoto acha kubwabwaja!watakomaa na kumaliza,kwani ww ulitumia uchawi?Ukimkataza mtu kufanya A inabidi umuoneshe plan B,mnawatisha tu bila kuwapa plan nyingine ambayo kimsingi haipo maana vyuo vimejaa.
 
Hakuna sehemu isiyo na changamoto acha kubwabwaja!watakomaa na kumaliza,kwani ww ulitumia uchawi?Ukimkataza mtu kufanya A inabidi umuoneshe plan B,mnawatisha tu bila kuwapa plan nyingine ambayo kimsingi haipo maana vyuo vimejaa.

Sasa plan b si watafute wao..yy katoa tahadhari.. na ndo ukweli.. km ataend hivohvo hyo ni hbr yak sasa ila jamaa katoa hbr kwa kadri ajuavyo.... Kusoma sawa ila yapasa ujue unasomea nini na wapi.la msingi saana hilo.all the best
 
Na mm nasupport st joseph sio chuo ni genge la wahuni kutoka india wamekuja kupiga pesa kwa watu wa Tz hawana elimu pale hata kama kinaanza mm nina watu pale campus mpya badooo sanaaa....ila kama hutak nenda utajionea na KIU pia hvo vyuo ni uozoo mtupu vyote sasa ukibisha wakati ww husomi hapo wakati tuliosoma hapo tukaacha tunaelewaaaa
Kumbe umesoma kwenye chuo kipya we noma kaka ndo kinaanza....duuh..asante lakin
 

Huku ni kufanya gambling... Ila cha kuongezea karibu course zote zilizobaki ni non priority so ajiandae kifedha kama atapata
 
nani kakudanganya kozi zikiandikwa non priority hupati mkopo @ marco polo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…