K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Jan 22, 2015 #222 Kuna yeyote mwenye update za nssf
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,871 Jan 22, 2015 #223 Hatuajiri Leo,,hill tangazo nimeliona leo
K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Jan 22, 2015 #224 Halina connection na usaili
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,642 Reaction score 50,906 Jan 25, 2015 #225 Watu kimya,jamani mwenye updates kutoka NSSF,ama watu wameshapewa vitengo maana hii inchi.
steveachi JF-Expert Member Joined Nov 7, 2011 Posts 11,340 Reaction score 13,364 Jan 26, 2015 #226 Watu tumesafiri kwa ajili ya hiyo intavyuu kutokea Kigoma hadi Das'laam,tupeni majibu basi tujue kama mpo pamoja nasi au ndo mshatumwaga,wiki ya tatu hii bilabila,Dau eeeeeeeeh,tunakusubiria Bosi wetu mtarajiwa,mwaga mavitu hayooo
Watu tumesafiri kwa ajili ya hiyo intavyuu kutokea Kigoma hadi Das'laam,tupeni majibu basi tujue kama mpo pamoja nasi au ndo mshatumwaga,wiki ya tatu hii bilabila,Dau eeeeeeeeh,tunakusubiria Bosi wetu mtarajiwa,mwaga mavitu hayooo
Mgayal JF-Expert Member Joined Oct 29, 2014 Posts 306 Reaction score 67 Jan 27, 2015 #227 Ngoja nmcal yule dada alosema wana watu wao tayar km washanza training ya kazi au laa.
m2kutu Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 125 Reaction score 101 Jan 27, 2015 #228 kuwa na subira mkuu, watatoa tu.
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Jan 27, 2015 #229 jamani bdooo tuuu
Ndesalee JF-Expert Member Joined Apr 17, 2014 Posts 1,092 Reaction score 522 Jan 27, 2015 #230 calisy said: jamani bdooo tuuu Click to expand... Badooooooooo..
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Jan 27, 2015 #231 kaeni tayari muda wowote kutoka sasa
kashata JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 532 Reaction score 552 Jan 28, 2015 #232 Mmh true?
m2kutu Senior Member Joined Apr 5, 2014 Posts 125 Reaction score 101 Jan 28, 2015 #233 presha inapanda, presha inashuka
S Starkwood Member Joined Apr 10, 2013 Posts 62 Reaction score 25 Jan 28, 2015 #234 m2kutu said: presha inapanda, presha inashuka Click to expand... mungu atuone kwakweli mwaka huu
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Jan 28, 2015 #235 wanahitaji watu wangapi kwani?
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Jan 28, 2015 #237 watu wa nane tuu mh
kashata JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 532 Reaction score 552 Feb 5, 2015 #238 Nimeshakata tamaa,narudi kwetu katavi mpaka sasa jamaa wapo kimyaaaaa
kashata JF-Expert Member Joined Apr 19, 2012 Posts 532 Reaction score 552 Feb 25, 2015 #239 Habari wakuu,nimesikia nyepesi kua jana saa 4 nssf wamepiga simu na intavyuu ni leo saa 4 asubuhi.je ni kweli?
Habari wakuu,nimesikia nyepesi kua jana saa 4 nssf wamepiga simu na intavyuu ni leo saa 4 asubuhi.je ni kweli?
zakiyah JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 309 Reaction score 143 Feb 25, 2015 #240 Itakuwa kweli namimi nimesikia kuna mtu mwanae kaenda leo.