Naisubiri kwa hamuuWakuu hali inazidi kuwa tete kwa mwenye taarifa kuhusu second batch tujuzane
Mkopo mkuuSecond batch ya nini?
Mkopo mkuu
CBE legal and industrial metrologyUpo chuo gani?
Uuuwwiiiii...mbona pale ukiangalia wameandika 1st batchHakuna cha second batch wala nini. Mkurugenzi keshatoa tamko!
Afu unategemea mkopo ?CBE legal and industrial metrology
Aliekuambia hawatoi nani??? Labda waanze mwaka huuAfu unategemea mkopo ?
Kah!!!Mkopo wenyewe kwa siku unapewa mia 2 .
Si bora nikukopeshe mimi tu unadhani nashindwa kukupa mia 2 kwa siku?
Hapa kinukisheni hata mimi nitakuja
Mdau watu wamepewa elfu 77Kah!!!
Nimeona mkuu afu mwngn ana1.7mMdau watu wamepewa elfu 77
kaskie na haka,fuatilia usiropokeeHakuna cha second batch wala nini. Mkurugenzi keshatoa tamko!
Bwana wee yani mtu unapewa jero la msosiSaiv hakuna haja ya kuwaza 2nd batch maana kama kwa siku unapata 200 sasa ya nn
Kwa serikali hii mkuu utatoa jicho sana. Relax. Laugh. Jicheke!kaskie na haka,fuatilia usiropokee