SECOND BATCH HESLB 27/10/2023

Sasa nazd kupagawa mwanenu

Huku account imeanza kuniletea mapicha picha mara iload kwa muda mrefu , mara zile tick pembeni za kwenye menu zifutike mara zirudi
Yan hp sielew , nawaza lbd ndio mabadiliko yanaanza kuja jmn nione SIPA yng ya allocation sijui

Naomba Mungu tu isiwe kiashiria cha majanga kwakweli, huu mwaka ni wetu na HESLB *****
 
Mimi mwnyw yaandika error sijui nn dah.
 
Mm yng imeanza kuzngua usiku huu mara baada ya Tangazo na taarifa ya batch 2 kutoka yani
 
Back
Top Bottom