Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,143
- 39,387
Kozi ganiUpo shekhe
Kozi ganiUpo shekhe
Kasome guide book mwongozo upoKozi gani
Mimi mwnyw yaandika error sijui nn dah.Sasa nazd kupagawa mwanenu
Huku account imeanza kuniletea mapicha picha mara iload kwa muda mrefu , mara zile tick pembeni za kwenye menu zifutike mara zirudi
Yan hp sielew , nawaza lbd ndio mabadiliko yanaanza kuja jmn nione SIPA yng ya allocation sijui
Naomba Mungu tu isiwe kiashiria cha majanga kwakweli, huu mwaka ni wetu na HESLB *****
Tng muda gn inakuandikia hvyo bossMimi mwnyw yaandika error sijui nn dah.
Jioni hiiTng muda gn inakuandikia hvyo boss
Waliolata batch ya pili ni wasiri mno jamanJioni hii
Nahc kuna changamoto pahala, haiwezekani wa kutoa ushuhuda kwamb kapata batch ya 2 asiwepo humu ht mmokoWaliolata batch ya pili ni wasiri mno jaman
Sio humu tu adi insta comment akuna mtuNahc kuna changamoto pahala, haiwezekani wa kutoa ushuhuda kwamb kapata batch ya 2 asiwepo humu ht mmoko
Ndio mkuu, nimeanza kufuatilia mule ndio nikaja humu napo hakuna etSio humu tu adi insta comment akuna mtu
Sielewi au bado hawajawekaNdio mkuu, nimeanza kufuatilia mule ndio nikaja humu napo hakuna et
Yeah nahc mpk keshoSielewi au bado hawajaweka
We kwako imebadilikaBatch2 imetoka ila allocation haionekani lakini ukiona dashboard imebadilika inakupeleka kwenye SIPA na DIDIs ujue tayari usubiri allocation tu.
Nimewafanyia wanafunzi wengi application wengine wamepata batch 1 na wengine hawakupata ila account zao zimebadilika leo, pia kuna wengine account zao zimekataa kuwa hawaku submit application.We kwako imebadilika
Mimi namshuhudia mmoja wa batch ya 2; ilikuwa majira ya saa 9 ile ndiyo alikuta amepangiwa.Nahc kuna changamoto pahala, haiwezekani wa kutoa ushuhuda kwamb kapata batch ya 2 asiwepo humu ht mmoko