Natafuta pa kupumzika jioni, niende wapi? Nakata sehemu wabongo walipo hapa mini Sydney
Jamani Mona kimya?
Ile post yako ya kwanza ulisema mjini Sydney, hii ya pili umesema mini Sydney. What exactly do you mean???
Sio wanaJF, ukionana nao wahamasishe wajiunge na JF.Nikweli. But Jf ni power of information. Wanaishije bila information? Mbona walkuwepo Wengi JK alipokuja akaongea nao?