Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,887
Asante boss,ngoja niisikize nimemkumbuka demu wangu wa kwanza alikua anaipenda hii
Ipi sasa kwasababu screenshots ni mbili hapo
Asante boss,ngoja niisikize nimemkumbuka demu wangu wa kwanza alikua anaipenda hii
Tena najua mpaka viashiria😁Umekuwa mkongwe kwenye tasnia ya kutongozwa 😂
Bust it babyIpi sasa kwasababu screenshots ni mbili hapo
Huu uzi nimemiss sana , hivi ledada bado unasongesha huu
My favorite kwa sasa ni Smallest man who ever lived
Anazo nyingi mi naukubali ule wa I dont wanna live forever,,
dua lipa huwa namkubali sana
Napenda nyimbo yake IDGFdua lipa huwa namkubali sana
HEbu nitake tena basi mrembo
HEbu nitake tena basi mrembo