Hii Sina,Wacha niipakue.Mawardat kaiskilize hiiView attachment 3605582
Aisee hii niliipendaga enzi hizo.Warld usiache kuthrowback na hiiView attachment 3605583
Asante pokerleo dada ishi na hiiView attachment 3605571
🔥,Halafu kuna na hii Mawardat View attachment 3605600
Bonge la ngomaVincenzo Jr kumbukizi na hiiView attachment 3605569
Halafu kuna na hii Mawardat View attachment 3605600
Eeh💃Njoo uhamie spotify basi Mawardat View attachment 3605603
Inakosekanaje sasa..Kaveli makaveli10 hii ongeza kwa playlist yakoView attachment 3605577
Hivi hiyo girlfriend ndio ile alioigiza na mboni mgeta na kina crazy gk?Inakosekanaje sasa..
Kutoka kwa tid katika playlist yangu kwa haraka haraka.
1. Zeze
2. Girlfriend
3. Rahisa
4. Watasema sana
5. Nilikataa
6. Siamini
7. Mtanzania
8. Understanding
9. We dada
YEs, alitengenezea movieHivi hiyo girlfriend ndio ile alioigiza na mboni mgeta na kina crazy gk?