SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

1000153429.png

The God of Abraham, Isaac, and Jacob (I am)
Who makes dry bones to rise again (I am)
Let there be light in the world again (I am)
Say you can call me (I am, I am)

win-one Church galšŸ¤­ā¤ļø
Sunday..
 
1000154838.png
Sikiliza hiyooo🤭
Aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa

mapenzi chenga ndio maana aniniumbua
Me nampenda hata Selikavu anajua
Yeye anaona sifa hiki kichwa kukibangua
Siku nilifa yeye ndio aliyeniua

Kwa maana nishatuma meseji akaona ninamsumbua
Me nampenda ila yeye hanipendi
Ety na mpaka kwao nikapeleka barua
Ila mwenzangu anadhani nataka tuspend.

ā™„ļøā™„ļøā™„ļøā™„ļøā™„ļø
Nampenda kweliii.
 
View attachment 3591399Sikiliza hiyooo🤭
Aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa aghaaa

mapenzi chenga ndio maana aniniumbua
Me nampenda hata Selikavu anajua
Yeye anaona sifa hiki kichwa kukibangua
Siku nilifa yeye ndio aliyeniua

Kwa maana nishatuma meseji akaona ninamsumbua
Me nampenda ila yeye hanipendi
Ety na mpaka kwao nikapeleka barua
Ila mwenzangu anadhani nataka tuspend.

ā™„ļøā™„ļøā™„ļøā™„ļøā™„ļø
Nampenda kweliii.
Ndo yule mshangazi unaemzungumia hapa kaka
 
Back
Top Bottom