Mamndenyi mi naendelea poa...hatari kama mtu mwenyewe ulikuwa unamtumia msg mnaheshimiana na msg ishaenda!Inkoskaz
Unaendeleaje kwanza?
Mi nakuambia hii screen toch ni balaa,
haki ya nani nina kasimu hapa kila leo
ni lazima niandike matukano, loooo
naona kama uliniona vile, usiombe uingie
whatsap mweee daaah.
Uzuri wa kitochi unatuma message hata gizani bila kuangalia...!
Mimi navipenda sana,
nina laini tatu na kila mija ina kitochi cha kwake
Naona ata wewe inakusumbua badala ya touch umeandika toucj!
Uzuri wa kitochi unatuma message hata gizani bila kuangalia...!
Hahahaaa yaani nimechweka mpwaka asantwe bebwi
Akchware hata mimi nimehweka, lakini wewe umecheka zaido maana hata mimi nimeskia huku Bwukoba
hahahahahwahwahwa shwemejwi we acho tu yaano k uma vile nakuoni unavyo chekwa