Naamini wengi wameshawahi kukutana na hili tatizo kwenye simu ya screen touch ,unatuma msg kwa mtu mwingine lakini deliver y report inaonyesha uliyemtumia siye still msg inakuwa imeenda kwa mlengwa
Mwenye ufahamu wa hili tafadhali na jinsi ya kusolve
sizipendi touch screen hasa ninapoandika ujumbe,unataka kuitouch "y" gafla kumbe siyo ni "m" I hate this shits!

Sio screen touch zote me natumia iphone na sijawahi pata shida hiyo