yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,553
- 3,515
Jamaa umenijibu kibabe sanaLabda zileeeee zinazofungwa kwa mtambo kutoka ^Ujeremani?Protector ya nn lakini!??? Ukivunja kioo utanunua nyingine. Unataka zile spea countless kutoka China & Vietnamu ziende wapi?
Jamaa umenijibu kibabe sana
Kweli mkuu, naona protector ni upigaji tu ila hamna kitu.Achana na haya makitu
Kioo changu kilipasuka kipindi nina hayo makitu. Tangu nimetoa sijaona tena mpasuko.
Tena usilogwe na wale jamaa wa likwidi purotekta....ni balaa
Nilitania lakini. Mm simu siweki ^purote-kta^
Wale wasanii wa LiQUID siku hizi wameyeyuka🙄Wakuu,
Nimechoka kununua protector za simu.
Ndani ya miezi miwili nimebadilisha protector kama mara tano.
Protector za siku hizi wanauza mpaka tsh 2000, ukiweka kwenye simu halichukui muda linaanza kubongonyoka lenyewe kuanzia pembeni au kwenye ncha mpaka linachukiza kuendela kukaa kwenye simu.
Sasa natumia simu bila screen protector.
Je, ni wapi nitapata protector original kabisa?
Je, uimara wa kioo chenye protection ya Corning Gorilla Glass 5 ukoje? Naweza itumia bila protector na kioo kisipate madhara ya hapa na pale?
View attachment 1779532
Hahhaaa na walikuwa wamekuja kasi kweliWale wasanii wa LiQUID siku hizi wameyeyuka
tena haya 3d siju 5 au 10d ndio utopolo kabisa,yanakula mlm kadha za kioo kwa lile fito lake la pembeni.I never use protector on my phone.
Huw si enjoy
Mazingira ya vumbi ni lazima kitapata scratch in long term.Wakuu,
Nimechoka kununua protector za simu.
Ndani ya miezi miwili nimebadilisha protector kama mara tano.
Protector za siku hizi wanauza mpaka tsh 2000, ukiweka kwenye simu halichukui muda linaanza kubongonyoka lenyewe kuanzia pembeni au kwenye ncha mpaka linachukiza kuendela kukaa kwenye simu.
Sasa natumia simu bila screen protector.
Je, ni wapi nitapata protector original kabisa?
Je, uimara wa kioo chenye protection ya Corning Gorilla Glass 5 ukoje? Naweza itumia bila protector na kioo kisipate madhara ya hapa na pale?
View attachment 1779532
Hahahhaaa mzee mbona maneno ya kukatishana tamaa! Kwahiyo natumia simu feki??Unaweza kutumia simu yenye kioo cha Corning Gorilla Glass 5 bila kutumia protector na simu yako ikawa salama lakini changamoto iliyopo ni kwamba simu yako ni fake.Simu yako ni fake kwa sababu ukinunua simu Tanzania uwezekano wa kupata simu original ni asilimia 1 tu!
Labda nitajaribu kuagiza njeMazingira ya vumbi ni lazima kitapata scratch in long term.
Jaribu zile full zenye bezel juu na chini.
Ama kama Una access agizishia nje site za uhakika.
Jerryrigeverything 😄Mzee kuna msemo mmoja ukiujua basi huwez tumia protector tena..." glass is the glass glass break"
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ndo nini hiki mkuu?Jerryrigeverything