Ni upi ubora, uimara na usalama wa "Liquid protector" kwenye simu zetu.!?.

Justine_Dannie

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,963
1,616
Habari.
Siku za hivi karibuni katika pitapita zangu, nimekutana na kitu kinaitwa "liquid protector" ni mbadala wa glass protector kwenye device zetu..isipokua tofauti yake wawekaji hutumia kimiminika fulani kisha kupaka kwenye kioo cha simu na kisha kuweka kwenye mashine fulani kwa ajili ya cementing (kugundisha vizuri kwenye kioo cha simu)
Swali langu ni je ni salama kwa afya ya simu zetu!? Maana wawekaji huchukia mpaka drill na kuonesha kwamba haiwezi pita kwenye kioo cha simu baada ya operation Yao..
Naomba kupewa elimu juu ya hili

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom