Screen Protector za simu zinachosha

Screen Protector za simu zinachosha

Kweli mkuu, naona protector ni upigaji tu ila hamna kitu.
Wife alidondosha simu juzi, ajabu kioo kilipasuka pasuka chote lakin protector haikupata hata crack moja.
Umetudanganya mkuu. Kama ni glass protector haiwezekani kioo cha simu kipasuke halafu protector iliyoko juu ibaki nzima. Ni yale yale ya soksi kuvuka na kiatu kikabaki mguuni!! Otherwise ni protector ya nylon.
 
Mimi huwa siweki hizo protector..

Ila hii simu yangu mpya muuzaji akaniconvice sana niweke nikaweka ila baada ya wiki ikaweka bubbles pemben nikaona huu ujinga nikaitoa nikaitupilia mbali...

Ila tuache utani kutumia simu bila protector kuna raha yake...

Haya maprotector ni umaskini tu...nina iphone hapa nimeitumia zaidi ya mwaka bila protector ila haina hata mchubuko
 
Siweki protector, nakuwa makin tu na simu yangu basii
 
Xiaomi now kuanzia redmi note 9 unaponunua kuna baadhi zinakuja na kama ki protector flan ukiwa na haraka ya utizamaji huwezi jua ila zinakua poa sana hua siitoi ndio naitumia ivo ivo now ata note 10 nayo imekuja nayo
Mimi huwa siweki hizo protector..

Ila hii simu yangu mpya muuzaji akaniconvice sana niweke nikaweka ila baada ya wiki ikaweka bubbles pemben nikaona huu ujinga nikaitoa nikaitupilia mbali...

Ila tuache utani kutumia simu bila protector kuna raha yake...

Haya maprotector ni umaskini tu...nina iphone hapa nimeitumia zaidi ya mwaka bila protector ila haina hata mchubuko
 
Umetudanganya mkuu. Kama ni glass protector haiwezekani kioo cha simu kipasuke halafu protector iliyoko juu ibaki nzima. Ni yale yale ya soksi kuvuka na kiatu kikabaki mguuni!! Otherwise ni protector ya nylon.
Kwanin nikudanganye sasa? Kwa taarifa yako nshashuhudia case mbili za namna hiyo. Protector siku hizi hamna kitu.
 
Back
Top Bottom