yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,542
- 3,502
Wakuu,
Nimechoka kununua protector za simu.
Ndani ya miezi miwili nimebadilisha protector kama mara tano.
Protector za siku hizi wanauza mpaka tsh 2000, ukiweka kwenye simu halichukui muda linaanza kubongonyoka lenyewe kuanzia pembeni au kwenye ncha mpaka linachukiza kuendela kukaa kwenye simu.
Sasa natumia simu bila screen protector.
Je, ni wapi nitapata protector original kabisa?
Je, uimara wa kioo chenye protection ya Corning Gorilla Glass 5 ukoje? Naweza itumia bila protector na kioo kisipate madhara ya hapa na pale?