Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Chanel za mpira ndo zinascramble sana...nimebadili sana line nilianza ma voda....airtel
....tigo
Nitumieni link ya hiyo site kwa ajili ya kuupdate
Jamani mimi mbona nimeweka account ya cccam lakini bado kanazingua nifanyeje sasa
Mbona mimi nimekinunua hv karibuni tu kama mwezi lakini chanel zinascramble muda wote....kwa hiyo hata mimi inabd nitafute update ya firmware na jinsi ya kuupdate....tumia link na nimeweka account ya cccam lakini bado sioni tu
CCcam server address ni ipi?
Umejaribu kutia modem?